Paul Makonda apewe Ubalozi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati au Burundi?

Paul Makonda apewe Ubalozi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati au Burundi?

ukweli ni kwasababu wengine walishindwa.
Wengine walishindwa lkn hatimaye mama amebaini kuwa Makonda ni mfitini, muuaji, mzandiki na mshenzi wa tabia ndiyo maana kamtoa kwenye nafasi nyeti ya uenezi kampeleka kuwa RC Arusha aende akakague madawati huko .
 
Nabadilika kutokanana Mazingira, Ningeteuliwa kipindi cha Magufuli Chuma, wale jamaa wangenyooka - unatamani kupiga panchi onaona Mama sio Mapigo yake"
Mshenzi sana huyu mwanaibilisi Makonda. Roho yake inatamani kuua, kuteka na kupiga watu risasi tu.

Asipokuwa makini atatupwa nje mazima.
 
Salaam Wakuu,

Kwa kuwa ameonekana kutokukubaliana na Sera za Rais Samia, alitakiwa ajiuzulu bila Shuruti.

Paul Makonda ni Mwenezi wa CCM na Samia Suluhu ni Mwenyekiti. Mwenezi hakubaliani na Mwenyekiti, anatakiwa aachie ngazi kuliko kutengeneza mtatandao wa matajiri kwa nia Ovu.

Siku zote Rais Samia amesema Serikali yake ni awamu ya Sita. Makonda anasema Serikali ni ya awamu ya tano sababu inatumia Ilani ya awamu ya tano. Je, anabishana na Rais wake?

Kuna maneno anaongea kumkejeli mtu aliyemteua kana kwamba hajui kazi. Mfano anasema "Nabadilika kutokanana Mazingira, Ningeteuliwa kipindi cha Magufuli Chuma, wale jamaa wangenyooka - unatamani kupiga panchi onaona Mama sio Mapigo yake" Hizi ni dharau kwa rais. Kwamba Samia sio Chuma? Wakati kakupa uteuzi?
View attachment 2945836
Kwa nafasi yake ya Uenezi anasema tusimtofautishe Rais Samia na Hayati Magufuli. Kwanini anakataa tusimtofautishe wakati tofauti zinaonekana?

1. Rais Samia Kaunganisha Nchi wakati Magufuli aliisambaratisha

2. Rais Samia kafungua Nchi kipindi cha Magufuli tulikuwa kama Kisiwani

3. Rais Samia hakuna Utekaji wala watu kupotea kipindi cha Magufuli tulikuwa tunaokota Maiti kwenye zimefungwa kwenye Gunia zikielea Coco beach.

4. Rais Samia hanyang'anyi pesa za mtu zilizopo Benki, kipindi cha Magufuli alikuwa anatuma watu wakague mabenki nani ana fedha nyingi kisha wanamfungulia kesi ya Uhujumu Uchumi baadaye anawataka wagawane hela zilizopo Benki ili wawe huru

5. Rais Samia karuhusu Mikutano ya Siasa, Kipindi cha Magufuli hapakuwa na Mkutano ya siasa

6. Rais Samia anatupa tume huru wakati wa Magufuli alikuwa anaengua watu na Wagombea wa Vyama vya upinzani wanafungwa jela wakitoka CCM ishashinda.

7. Tais Samia yupo kwenye Mchakato wa kutupa Katiba Mpya, Wakati wa Magufuli alisema haliitangaza kwenye ilani ya CCM.

Yapo mengi sana.. Sasa hivi Watanzania wanafuraha na wqnatabasamu nk.

Halafu Makonda anatokea huko eti Magufuli na Samia ni kitu kimoja.

Paul Makonda anadanganywa na Polepole. Nia yake ni kumtoa Rais Samia kwenye reli.

Alichukua hela za matajiri, kaenda kufanya Mikutano kanda ya Ziwa ili kumtisha Mama kwamba bila Makonda Samia hapati kura. Anajidanganya.

Ni wakati wa Samia kumpangia kazi nyingine. Sababu ubalozi wenyewe alishapigwa ban kwenda Marekani wala kuhudhuria Mikutano inayoongozwa na Marekani kwa kosa la kudhurumu uhai wa binadamu alipokuwa Mkuu wa Mkoa.

Makonda ni Jumba bovu. Asimuangukie Rais wetu bado tunamtegemea. Alituvusha salama kipindi cha Msiba wa Taifa na Bado Kasimama.

Makonda asimchafue. Amuache awaletee maendeleo Watanzania. Asilinganishwe na yoyote
HUYU MTOTO MAMA AMUONDOE KWENYE KAZI ZAKE HANA AKILI YA KUFANYAKAZI NA WENZIE, MAMA ABAKI KUWA SWAHIBA WAKE TU
 
Awamu ya sita waziri mkuu yuleyule!!? Makonda yuko sawa %[emoji817] mnapata wapi uhalali wa kutenganisha mafanikio ya Samia na naghufuli!

Hivi mnazani bila magufuli mwanza daraja la busisi lingejengwa ndege meli na sitendi mpya kuanzia drl Dodoma mpaka mwanza

Yote hayo hamuyaoni nahilo ndio tatizo la kufikiri kwa kutumia matumbo badala ya vichwa

Iri mpate uhalali wa kutenganisha mafanikio ya wawili hawa inabidi miradi yote iriyo anzishwa hawamu ya 5 msiiusishe na hawamu ya6

Mkitaka kumsifia mama njooni na orodha ya miladi iriyo anzishwa na serikali ya hawamu ya 6 iri wananchi tuijuwe tena muanze na mradi namba 1 wa bandari

Mkifanya hivyo hapo ndipo mtakuwa na uhalali wa kutenganisha mafanikio ya wawili hawa,
Jamani nauliza hii ilani inakua ya chama au mtu binafsi

kila awamu inapokea mambo ambayo hayajakamilika kiutkelezaji ktk awamu nyengine kila rais ana utafauti wa uendeshaji wa serekali yk

ikiwa kuna wtu hawaridhik utendaji wa awamu hii wasubir awamu nyengne ila haki yk mpeni rais amejitahid kuwaleta pmj wtzn hili ni jambo kubwa sana hata hao wanompinga nafsi zina wasuta hii nchi ilikua inapoteza mwelekeo lkn sasa mambo yameanza kuwa sawa huwezi kuwarizisha wtu wte ila hulka ya binaadam tuna sahau harak lkn baada 2030 tutapat tathmin saiv ni unaona wazi chuki za kijinga tu na siasa za maji taka ndio zimeshamiri
 
Kwani waliopewa ubalozi hawaendani sera na marais?
Kama mtu huendani nae sera simnakaa kilamtu upande wake
 
Umesahau huyu jamaa anatuhumiwa na mataifa makubwa kunyima watu haki ya kuishi.
 
Ukiwaza kidogo unapata majibu kidogo awamu ya sita ilani yake iliandikwa wapi na ilinadiwa na nani akapigiwa kura na watu wangapi?
Serikali ni ya Samia sio ya awamu maana serikali ya dictator aliita serikali ya jiwe aka dictator katili roho mbaya alielekea motoni
 
Serikali ni ya Samia sio ya awamu maana serikali ya dictator aliita serikali ya jiwe aka dictator katili roho mbaya alielekea motoni
Ninacho jua mimi ccm ipo madarakani hayo mengine ni yako na wachawi wenzio!
 
Bashite ni swala la muda tu aingie kwenye list ya intapol akashtakiwa marekani kwa mauaji ya kimbari. Nafikiri mama fadhila zitamponza
 
Back
Top Bottom