Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda ni msanii mpiga kelele. Hakunahata jambo moja alilowahi kulifanikisha, likawa sustainable. Kiutendaji, ni afadhali Lukuvi.Makonda ni msanii tu hamna lolote
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Haya tuachane na Makonda,......Nitajie mkuu wa mkoa aliyewahi kufanikiwa na tutajie alifanikiwa jambo gani?, Ndipo na sisi wengine tulinganishe.Makonda amewahi kufanimiwa kwenye nini notable kama sio doing things for the lights.camera and action
HAWEZO NI MSANII NA MWIZI MKUBWAJumaa anazingua tu. Mikwara mingi anapeleka wakandarasi rumande asubuhi ikifika jioni wako nje.
Kuna kitu Makonda anaweza zaidi ya matamasha na majigambo?Kuna watu hawapendi maneno mengi.
Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.
Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.
Akimuondoa mhalifu anakwensa kumandisha cheo.
Juma ni msanii na kama ni kumzingua mama amemzingua mara nyingi
ilikuwa ni programmed na ilipokea ridhaa ya uongozi wa juu hivyo kwa namna fulani unaweza kumlaumu au kutokumlaumu,jiwe alikuwa anaforce mambo apendwe tu.Huyo jamaa anafanya Kazi nzuri Ila uwezo wake kiutendaji ni wakaida Sana ni vile anafafiliwa Sana na watu na ni attention seeker.
Nilimpima katika vita ya madawa alilenga kujipatia faida zaidi na sio kuwasaidia vijana waathirika wa madawa.