Paul makonda apewe wizara ya maji mwezi mmoja tu

Yaani idara ya maji wakurugenzi wake inawezekana ni memkwa hawana ubunifu wowote tangu nchii ipate uhuru ni idara iliyofeli mazima na kuzikwa.
 
Makonda amewahi kufanimiwa kwenye nini notable kama sio doing things for the lights.camera and action
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Haya tuachane na Makonda,......Nitajie mkuu wa mkoa aliyewahi kufanikiwa na tutajie alifanikiwa jambo gani?, Ndipo na sisi wengine tulinganishe.
 
Kuna kitu Makonda anaweza zaidi ya matamasha na majigambo?
 
Huyo jamaa anafanya Kazi nzuri Ila uwezo wake kiutendaji ni wakaida Sana ni vile anafafiliwa Sana na watu na ni attention seeker.

Nilimpima katika vita ya madawa alilenga kujipatia faida zaidi na sio kuwasaidia vijana waathirika wa madawa.
ilikuwa ni programmed na ilipokea ridhaa ya uongozi wa juu hivyo kwa namna fulani unaweza kumlaumu au kutokumlaumu,jiwe alikuwa anaforce mambo apendwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…