Paul Makonda arejea, aibukia Uwanja wa Ndege Arusha uliopo eneo la Kisongo

Paul Makonda arejea, aibukia Uwanja wa Ndege Arusha uliopo eneo la Kisongo

Siyo za kijinga tu bali za kijima na zilizojaa upumbavu. Ila mkuu kwa Tanzania yenye wajinga wengi, siyo rahisi kuona hivyo.
Na wewe potea tuone nani atakuulizia kama sio Bibi yako huko Kishumundu! Fanya mambo yako achana na Makonda muulize aliyezusha humu ndani kuhusu hilo!
 
View: https://www.youtube.com/live/IHztQrYAF0g?si=aTpKZrIJOrQWndNq

Updates...

Kumepita ukimya wa takribani mwezi mmoja huku swali kuu likiwa yupo wapi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, RC Paul Makonda lakini leo Agosti 16, 2024 swali hilo limejibiwa baada ya kuonekana kwa mara ya kwanza akikagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda alipotembelea Uwanja wa Ndege wa Mkoa Arusha na kukagua Ujenzi huo unaondelea kutekelezwa leo Agosti 16, 2024 ameeleza chanzo cha utanuzi wa Uwanja huo.

RC Makonda amelezea kuwa itakuwa chanzo cha utanuzi kwa Uwanja huo wa ndege ni kuongeza kundi kubwa la Watalii wanaoingia nchini kupitia mkoa wa Arusha kwa uwepo wa vivutio mbalimbali vya utalii ambapo itaongeza Uchumi kwa taifa letu na kujitangaza zaidi kupitia utalii.

RC Makonda ameeleza zaidi kuwa ifikapo Septemba Mosi Uwanja kuanza kutumika kuanzia Septemba mosi, 2024 ambapo idadi ya watalii inakadiriwa kuongezeka zaidi.

Mkandarasi
Moja ya Miradi ambayo itafanyika katika uwanja huyo wa ndege ni kufunga taa za kuongozea Ndege kwa sababu uwanja wa ndege uwe kufanya kazi masaa 24.

"Tumeshapata Mkandarasi tayari na tumeshamkabidhi na sasa yupo katika hatua ya kufanya usanifu wa mfumo wenyewe".

"Lakini tatizo ambalo tunalo ni hile ardhi ya kufunga hizo taa za aproch ya kutua ndege, kwa sababu kiwanja chetu kutoka pale mwisho tuna mita 200 na lakini tunahitaji mita 500".

Soma Pia: Bananga: Jana nimeongea na Makonda sasa yupo Arusha, amemaliza likizo yake

Hapo kwamba kuwe na chumba cha sala pia kwa Wakristo, binafsi sioni kama ni ushauri unaofaa kwa mahali kama uwanja wa ndege. Sidhani kama Wakristo wanahitaji chumba kama hicho, ingawa kwa Waislamu wao wanahitaji, na wakihitaji chumba siyo lazima na Wakristo nao wahitaji. Ujenzi ungefuata ramani ilivyo na siyo mawazo ya nyongeza ya RC. Otherwise, wanaweza wakaweka na chumba cha Wakristo na kisitumike, labda wao kama wao ndiyo wangeomba, na siyo kwa mawazo ya RC. Huwezi ku'create', mahitaji ya imani ya watu wengine bila wao wenyewe kusema au kuhitaji.
 
View: https://www.youtube.com/live/IHztQrYAF0g?si=aTpKZrIJOrQWndNq

Updates...

Kumepita ukimya wa takribani mwezi mmoja huku swali kuu likiwa yupo wapi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, RC Paul Makonda lakini leo Agosti 16, 2024 swali hilo limejibiwa baada ya kuonekana kwa mara ya kwanza akikagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda alipotembelea Uwanja wa Ndege wa Mkoa Arusha na kukagua Ujenzi huo unaondelea kutekelezwa leo Agosti 16, 2024 ameeleza chanzo cha utanuzi wa Uwanja huo.

RC Makonda amelezea kuwa itakuwa chanzo cha utanuzi kwa Uwanja huo wa ndege ni kuongeza kundi kubwa la Watalii wanaoingia nchini kupitia mkoa wa Arusha kwa uwepo wa vivutio mbalimbali vya utalii ambapo itaongeza Uchumi kwa taifa letu na kujitangaza zaidi kupitia utalii.

RC Makonda ameeleza zaidi kuwa ifikapo Septemba Mosi Uwanja kuanza kutumika kuanzia Septemba mosi, 2024 ambapo idadi ya watalii inakadiriwa kuongezeka zaidi.

Mkandarasi
Moja ya Miradi ambayo itafanyika katika uwanja huyo wa ndege ni kufunga taa za kuongozea Ndege kwa sababu uwanja wa ndege uwe kufanya kazi masaa 24.

"Tumeshapata Mkandarasi tayari na tumeshamkabidhi na sasa yupo katika hatua ya kufanya usanifu wa mfumo wenyewe".

"Lakini tatizo ambalo tunalo ni hile ardhi ya kufunga hizo taa za aproch ya kutua ndege, kwa sababu kiwanja chetu kutoka pale mwisho tuna mita 200 na lakini tunahitaji mita 500".

Soma Pia: Bananga: Jana nimeongea na Makonda sasa yupo Arusha, amemaliza likizo yake

ni mkuu wa mkoa mjanja na mbunifu
 
Hapo kwamba kuwe na chumba cha sala pia kwa Wakristo, binafsi sioni kama ni ushauri unaofaa kwa mahali kama uwanja wa ndege. Sidhani kama Wakristo wanahitaji chumba kama hicho, ingawa kwa Waislamu wao wanahitaji, na wakihitaji chumba siyo lazima na Wakristo nao wahitaji. Ujenzi ungefuata ramani ilivyo na siyo mawazo ya nyongeza ya RC. Otherwise, wanaweza wakaweka na chumba cha Wakristo na kisitumike, labda wao kama wao ndiyo wangeomba, na siyo kwa mawazo ya RC. Huwezi ku'create, mahitaji ya imani ya watu wengine bila wao wenyewe kusema au kuhitaji.
Uwezo wa kuchambua hivyo hana. Mimi ni mkristo lakini sifikiri kama wanahitaji chumba. Waislam ni kwa sababu ya swala 5.
 
Kabisa, akili kubwa hii
Yeye kaamua kutukia maana uvumi hajaanzisha yeye na huu mtindo ni mbaya sana maana hata Philip Mpang Makamu wa Rais walimzushia kifo! Kwa hiyo kukaa kimya pia ni jibu tosha wa wapuuzi kama hao!
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda alipotembelea Uwanja wa Ndege wa Mkoa Arusha na kukagua Ujenzi unaondelea kutekelezwa leo Agosti 16, 2024 ameeleza chanzo cha utanuzi wa Uwanja huo.

RC Makonda amelezea kuwa chanzo cha utanuzi kwa Uwanja huo wa ndege ni kuongeza Wimbi la Watalii wanaoingia nchini kupitia mkoa wa Arusha kwa uwepo wa vivutio mbalimbali vya utalii ambapo itaongeza Uchumi kwa taifa letu na kujitangaza zaidi kupitia utalii.

PIA SOMA
- News Alert: - Paul Makonda arejea aibuka na mapya uwanja wa Ndege Arusha uliopo eneo la Kisongo
 
Kama unabisha shauri Yako

Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo

Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi 😂😂

Pale bungeni ndugu Lukuvi ataweka kila kitu sawa

Huku kwa akina Mwabukusi na Matata sasa watakutana na nguli mwenyewe wa Katiba Prof Kabudi

Kule Arusha ndio itakuwa Kioo cha Jamii kwa Mambo ya Utawala Bora unaojali Watu wote, Kiboko ya Wahuni amerejea

Jumaa Mubarak 😃😃😃
Uchawa hauna umri kumbe
 
Back
Top Bottom