Paul Makonda arejea, aibukia Uwanja wa Ndege Arusha uliopo eneo la Kisongo

Siyo za kijinga tu bali za kijima na zilizojaa upumbavu. Ila mkuu kwa Tanzania yenye wajinga wengi, siyo rahisi kuona hivyo.
Na wewe potea tuone nani atakuulizia kama sio Bibi yako huko Kishumundu! Fanya mambo yako achana na Makonda muulize aliyezusha humu ndani kuhusu hilo!
 
Hapo kwamba kuwe na chumba cha sala pia kwa Wakristo, binafsi sioni kama ni ushauri unaofaa kwa mahali kama uwanja wa ndege. Sidhani kama Wakristo wanahitaji chumba kama hicho, ingawa kwa Waislamu wao wanahitaji, na wakihitaji chumba siyo lazima na Wakristo nao wahitaji. Ujenzi ungefuata ramani ilivyo na siyo mawazo ya nyongeza ya RC. Otherwise, wanaweza wakaweka na chumba cha Wakristo na kisitumike, labda wao kama wao ndiyo wangeomba, na siyo kwa mawazo ya RC. Huwezi ku'create', mahitaji ya imani ya watu wengine bila wao wenyewe kusema au kuhitaji.
 
ni mkuu wa mkoa mjanja na mbunifu
 
Uwezo wa kuchambua hivyo hana. Mimi ni mkristo lakini sifikiri kama wanahitaji chumba. Waislam ni kwa sababu ya swala 5.
 
Kabisa, akili kubwa hii
Yeye kaamua kutukia maana uvumi hajaanzisha yeye na huu mtindo ni mbaya sana maana hata Philip Mpang Makamu wa Rais walimzushia kifo! Kwa hiyo kukaa kimya pia ni jibu tosha wa wapuuzi kama hao!
 
Your browser is not able to display this video.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda alipotembelea Uwanja wa Ndege wa Mkoa Arusha na kukagua Ujenzi unaondelea kutekelezwa leo Agosti 16, 2024 ameeleza chanzo cha utanuzi wa Uwanja huo.

RC Makonda amelezea kuwa chanzo cha utanuzi kwa Uwanja huo wa ndege ni kuongeza Wimbi la Watalii wanaoingia nchini kupitia mkoa wa Arusha kwa uwepo wa vivutio mbalimbali vya utalii ambapo itaongeza Uchumi kwa taifa letu na kujitangaza zaidi kupitia utalii.

PIA SOMA
- News Alert: - Paul Makonda arejea aibuka na mapya uwanja wa Ndege Arusha uliopo eneo la Kisongo
 
Uchawa hauna umri kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…