Paul Makonda arejea, aibukia Uwanja wa Ndege Arusha uliopo eneo la Kisongo

Paul Makonda arejea, aibukia Uwanja wa Ndege Arusha uliopo eneo la Kisongo


View: https://www.youtube.com/live/IHztQrYAF0g?si=aTpKZrIJOrQWndNq

Updates...

Kumepita ukimya wa takribani mwezi mmoja huku swali kuu likiwa yupo wapi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, RC Paul Makonda lakini leo Agosti 16, 2024 swali hilo limejibiwa baada ya kuonekana kwa mara ya kwanza akikagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo.

Niliwaambieni humu kwamba hiyo yote ni Cinema tu na britanicca ni sehemu ya hiyo syndicate na kwa sasa ndiyo wanaamua kipi kiwe habari, kipi wavujishe na kwa kuwa kiakili watanzania wengi uwezo wao upo chini, watafanikiwa kwa kila walipangalo
 
Screenshot_20231102_120808_Remix.png
 
Mkuu punguza chuki. Mimi nilifuatisha kile ulichokiandika kwa sababu huwezi kutoa comments kwa wajinga kama nawe hauangikii hilo kundi. Mwerevu huwa hatoi majibu kwa wajinga, mwerevu hupuuzia.

Pia, wewe ni miongoni mwa watu ninaowafitilia sana humu, kwani sehemu kubwa tunafanana mitazamo katika mengi, na sehemu ndogo sana tunatofautiana.

Then mimi ni aidha kaka yako au mdogo wako wa kiume.
Uwe na siku njema na tujitahidi kuishi kwa upendo. Hii dunia hakuna anayebaki milele.
Sawa mkuu nakutakiwa siku njema
 
Back
Top Bottom