rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Laiti ungejua..! watanzania ndo maana ccm itatutawala mileleOooooh ! Yooooooh! Karibuuuuuu! Makondaaaaa! Wafe wao waliokuzushia kifo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laiti ungejua..! watanzania ndo maana ccm itatutawala mileleOooooh ! Yooooooh! Karibuuuuuu! Makondaaaaa! Wafe wao waliokuzushia kifo!
View: https://www.youtube.com/live/IHztQrYAF0g?si=aTpKZrIJOrQWndNq
Updates...
Kumepita ukimya wa takribani mwezi mmoja huku swali kuu likiwa yupo wapi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, RC Paul Makonda lakini leo Agosti 16, 2024 swali hilo limejibiwa baada ya kuonekana kwa mara ya kwanza akikagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo.
Kwahiyo unamfundisha kuwaogopa wahuni?Asipoacha sifa Na show off watammaliza wahuni,abadili style yake ya uongozi,iliyopo imepitwa na wakati,watoto wake bado wadogo,mkewe bado mdogo
Alikuwa huku😅
litakuwa zombi hili bashitehahaha ndio amerudi mkuu
Sawa mkuu nakutakiwa siku njemaMkuu punguza chuki. Mimi nilifuatisha kile ulichokiandika kwa sababu huwezi kutoa comments kwa wajinga kama nawe hauangikii hilo kundi. Mwerevu huwa hatoi majibu kwa wajinga, mwerevu hupuuzia.
Pia, wewe ni miongoni mwa watu ninaowafitilia sana humu, kwani sehemu kubwa tunafanana mitazamo katika mengi, na sehemu ndogo sana tunatofautiana.
Then mimi ni aidha kaka yako au mdogo wako wa kiume.
Uwe na siku njema na tujitahidi kuishi kwa upendo. Hii dunia hakuna anayebaki milele.
Shukrani kiongoziSawa mkuu nakutakiwa siku njema
Mtajuana wenyewe na dua zenu za kuku watu wameumbuka
Pamoja comradeShukurani kiongozi
GENTAMYCINE salama?Ndio rais wako ajae kubali ukatae!!
Hahahaha ndio kusemaje wakati wewe upo kwenye uzi huu kumfuatiliahata wanaomfuatili ni wajinga zaidi