Paul Makonda arejea, aibukia Uwanja wa Ndege Arusha uliopo eneo la Kisongo

Uongo mbaya. Tulumiss Makonda.

Karibu sana, naona umetia akili sio kama ulivyokua kabla ya mama Samia kushika madaraka, ulijimwambafai sana kwa kumuiga yule mjinga mwenzako.Tunakuombea aklli yenye manufaa kwa taifa iwe imekuingia. Maana hiyo ilikua huna.
Ushauri kuntu kabisa uliojaa hekima.
 
Uongo mbaya. Tulumiss Makonda.

Karibu sana, naona umetia akili sio kama ulivyokua kabla ya mama Samia kushika madaraka, ulijimwambafai sana kwa kumuiga yule mjinga mwenzako.Tunakuombea aklli yenye manufaa kwa taifa iwe imekuingia. Maana hiyo ilikua huna.
Moto ni ule ule,,,,,tena aongeze kasi wachochea moto tupo,,,,,,,,,na bado zamu yetu inakuja.....
 
Uongo mbaya. Tulumiss Makonda.

Karibu sana, naona umetia akili sio kama ulivyokua kabla ya mama Samia kushika madaraka, ulijimwambafai sana kwa kumuiga yule mjinga mwenzako.Tunakuombea aklli yenye manufaa kwa taifa iwe imekuingia. Maana hiyo ilikua huna.
Kwani amesilimu siku hizi au Mimi ndio sielewi?
 
Britanicca ni muongo sana huyo! Huyo kama mganga wa kienyeji muda mwingine anapatia lakini boko ndo nyingi!

Kabisa livypobashiri mkeka wa kina nape na february akaona atembelee hiyo ngekewa ,sasa mara ya pili MUHINDI kamchania MKEKA.
 
alisikika shabiki mmoja wa kolo ambae aliwekewa kono la mo kwenye kalio🤣🤣🤣muhindi kafaidi sana kuwapapasa na majezi yake, au ndo alikua analipiza ile ishu ya kuachwa na kanga tu akaamua kulipiza kwa makolo🤣🤣🤣
Mpira tena? Mbona kulikuwa na angle nyingi za kushambulia hoja yake kisiasa?
 
Back
Top Bottom