Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hivi yupo serious kweli huyu RC ama anatania?
Kiwanda chenyewe cha matairi hapo Arusha cha General Tyres sijui kama kipo hai hadi leo
Hii Nchi Viongozi wanaongoza kusema vitu visivyo vya kweli π
Probably hilo la repairs na facelifts kufanyika lakini sio kuunda kweli magariHuyu itakuwa anamaanisha zinafanyiwa repair au facelift...sio uundaji wa gari tokea kukunja chuma n.k
Ni kweli,kama umeona wimbi la Landrover defender mtaani ambazo zimekuwa pimped,hizo zinatengenezwa Arusha,wanachukua zulizotumika au chakavu wanazifanyia ukarabati wa nguvu zinakuwa kama mpya kabisaKwakweli huu ni uongo
Hilo sawa sasa hiyo mikweche ndio upeleke ulaya kweli?Ni kweli,kama umeona wimbi la Landrover defender mtaani ambazo zimekuwa pimped,hizo zinatengenezwa Arusha,wanachukua zulizotumika au chakavu wanazifanyia ukarabati wa nguvu zinakuwa kama mpya kabisa...
,π€£π€£π€£Raha ya kuongoza wajinga, unawaambia chochote tu hawahoji
Na yeye amekubali hizo fixπ€£Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameweka wazi kuwa Arusha imeanza kutengeneza magari aina ya Defender, ambayo sasa yanauzwa Ulaya. Akizungumza kwenye kongamano la Radiolojia lililofanyika leo Oktoba 9, jijini Arusha mbele ya Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko, Makonda ameeleza kuwa magari hayo yanatengenezwa moja kwa moja jijini Arusha na kusafirishwa hadi Ulaya.
"Defender sasa zinanunuliwa kutoka Arusha, zinatengenezwa hapa na kisha kupandishwa meli kupelekwa Ulaya."