Paul Makonda: Arusha sasa inazalisha Magari aina ya Defender na kuyapeleka Ulaya

Paul Makonda: Arusha sasa inazalisha Magari aina ya Defender na kuyapeleka Ulaya

Zinatengenezwa ✅️
Zinaundwa ❌️
Zinatengenezwa = Assembled = zinaunganishwa. This must be Under license.
Zinaundwa = zinazalishwa = Pruduced = Fabricated You must have a plant (moulds)to produce the different parts that should be assembled to get the end product. Halafu utaweza kuiandika "Made in hapa-hapa"
Kiswahili ni kigumu; hakijawahi kumwacha mtu salama.
BTW: Bongo hatujaweza hata kuunda pikipiki ila tunaweza sana kutumia maneno ya Kiswahili haphazardly.:FLUSH:
I stand to be corrected.
 
Nadhani wengi hamjamuelewa. Kuna tofauti kubwa kati ya car manufacturing n car assembly. Alichosema blaza Paulo ni uhalisia kwa 100%. Nilipata nafasi ya kuitembelea kampuni ya uzalishaji wa mabasi 0 mileage pale ke, "Master Fabricators." Arusha kuna car assembly ya madefenda. Car assembly inanunua spare parts nje, then inategeneza gari jipyaaa. Kwa sasa nchi za kiafrika almost wote tumejikita kwenye car assembly maana bado hatuna uwezo wa kuzalisha spare parts zetu.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameweka wazi kuwa Arusha imeanza kutengeneza magari aina ya Defender, ambayo sasa yanauzwa Ulaya. Akizungumza kwenye kongamano la Radiolojia lililofanyika leo Oktoba 9, jijini Arusha mbele ya Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko, Makonda ameeleza kuwa magari hayo yanatengenezwa moja kwa moja jijini Arusha na kusafirishwa hadi Ulaya.

"Defender sasa zinanunuliwa kutoka Arusha, zinatengenezwa hapa na kisha kupandishwa meli kupelekwa Ulaya."

Paul Makonda ni kichaa
 
Tukiachana na uongo wa Makonda naomba kuuliza kama kuna namna yoyote wanafaidika kwa kuipa Land Rover promo kubwa kiasi hicho? Hatuoni kama Land Rover wanatuona wajinga kuwapa matangazo ya bure? Itachukua muda sana kwenda sawa na ulimwengu wa kibepari.
 
Huyu itakuwa anamaanisha zinafanyiwa repair au facelift...sio uundaji wa gari tokea kukunja chuma n.k
Hata kama ni facelift, wenzetu wako very strictly na maswala ya complying hasa mazingira, standards na usalama. Je hizo Defenders zinazalishwa na kiwanda gani? Je zina pelekwa nchi gani? Kwa matumizi gani? Je hizo nchi za Ulaya zimeshindwa teknolojia na machalii na wadudu wa Arusha?
 
Tukiachana na uongo wa Makonda naomba kuuliza kama kuna namna yoyote wanafaidika kwa kuipa Land Rover promo kubwa kiasi hicho? Hatuoni kama Land Rover wanatuona wajinga kuwapa matangazo ya bure? Itachukua muda sana kwenda sawa na ulimwengu wa kibepari.
Chama chenu cha mazezeta, viongozi wenu maiti wa akili
 
Back
Top Bottom