Paul Makonda: Arusha sasa inazalisha Magari aina ya Defender na kuyapeleka Ulaya

So kampuni ya Land lover imefungua kiwanda Cha Magari Arusha. Kongole Kwa Mama,.. wait kiwanda kipo maeneo gani???
Thubutuuu. Sanasana wanafanya modifications tu za mabodi
 
Rajibinder Singh Automotive (RSA)
 
So kampuni ya Land lover imefungua kiwanda Cha Magari Arusha. Kongole Kwa Mama,.. wait kiwanda kipo maeneo gani???
Brand ya Land Rover Defender Waingereza walishaiuza kwa Wahindi baada ya wao kusitisha rasmi uzalishaji wake.
 
Kwa hiyo, hizo defender haziwezi kutumia na askari wetu, mbona magari yao huwa yaagizwa kutoka nje?
 
Arusha ndiyo ule mkoa ukiwa mvuta gundi mzuri na mnywa pombe kali kupitia njia ya haja kubwa ndiyo unashauriwa ukaishi?
 
Elimu! Elimu! Elimu!
Kweli watanganyika sasa wameonekana wajinga.
 
Nkumbuka kuna mradi wa kutengeneza trela za pikipiki ili kupunguza ajali, ule mradi uliishia wapi?
Tanganyika kwa vituko!!
 
Hata hiyo face lift ndio kweli watu watoke Ulaya kuja kununua gari Arusha?? Waache face lift za kina Khan Design?

Sasa si ndio 'ujinga' wa watawala tulionao...

Kwanza kitendo cha kusifia gari ya mabeberu ni kasoro tayari...
 
Arusha na Moshi kuna workshops nyingi zinaunda bodies za landcruisers na landrovers kwaajili ya utalii, ila workshops maarufu na za kisasa ni Rajinder(RSA) na Hans Paul (HAL)
 
Kiongozi ametunywesha chai ya moto kweri kweri, mdau hapa anajaribu kuipooza. Tutajie jina la kampuni/
Kiwanda
 
Hapo Muhindi,Tata, kashawapa hela za promotion.
 
Defender zilisitishwa uzalishaji Ulaya/Uingereza akaamua auze hiyo brand kwa Muhindi/TATA Company.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…