Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

Aise huyu alikuwa chambo ya demokurashia ya kweli,ila anajua anakoenda....
 
Mkuu hata ninyi wanachama wa chama bora Africa mngekuwa na njaa kwa kuambiwa mkae home for only 2 weeks,Sasa ubora wa hicho chama chenu na uchapakazi wa mwenyekiti wenu upo kwenye nini?
 
Kwamba makonda ana connection na vigogo wa nchi hii kuliko aliyekuwa naibu waziri na member of parliament mwenzao,Kweli Mambo mengi sana nchi hii
 
Mie najua Makonda ndiye mbunge wa kigamboni......asiyetaka atalazimishwa..
 
Kama hujajua Makonda Kigamboni kapigwa chini!!
CCM wakifanya ubabe wamkate Ndugulile hilo jimbo walisahau ni la upinzani hasa CHADEMA!!
 
Ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga.What goes around comes around.To every action there is an equal and opposite reaction.
Hiyo ni law of nature, halafu kavaa magwanda kama ya kuvamia clouds siku ile!!
Eti apewe ubunge Kigamboni mtu disain hii hafai hata ubarozi nyumba kumi!!
Eti Mungu, huyo Mungu wa wauwaji na wateka nyara??
Mungu Yehova Jile hataniwi wala sio mnafiki, apandacho mtu atavuna hicho hicho!!
 
hAYO MAGWANDA YA JESHI GANI NA CHEO KIPI NA KAPEWA NA AMIRI JESHI YUPI? " kauli,kauli,kauli!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…