Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. mwanamke unatafta Vita wewe
Mkuu hata ninyi wanachama wa chama bora Africa mngekuwa na njaa kwa kuambiwa mkae home for only 2 weeks,Sasa ubora wa hicho chama chenu na uchapakazi wa mwenyekiti wenu upo kwenye nini?Aliyoyafanya makonda hadi kufikia dar es salaam ikawa ilivyo sasa czani km hastaili kuwa mshindi ktk mchakato huu.
Ndugulile kipindi cha covid-19 alitaka tufe km siyo ujasiri wa Mh Rais
Najua ndugulile kawateka wajumbe wengi kiushabiki.
Ila busala za wilaya na mkoa na taifa kwa ujumla ndio zitatoa mstakabari mzima.
Kwamba makonda ana connection na vigogo wa nchi hii kuliko aliyekuwa naibu waziri na member of parliament mwenzao,Kweli Mambo mengi sana nchi hiiKiuhalisia Wanakigamboni wangepata matunda mengi Kama wangemchagua makonda kuliko ndugulile, kwakuwa Ni mfatiliaji mzuri na annaconnection kubwa na vigogo, japokuwa anamapungufu mengi Ila bado Ni mchapa kazi.
Pia Kura hizi rushwa huwa zinatembea Sana, Kama huko mollel alianza kuwapa rushwa wajumbe kitambo Sana kabla hata ya mchakato.
Mie najua Makonda ndiye mbunge wa kigamboni......asiyetaka atalazimishwa..Aliyoyafanya makonda hadi kufikia dar es salaam ikawa ilivyo sasa czani km hastaili kuwa mshindi ktk mchakato huu.
Ndugulile kipindi cha covid-19 alitaka tufe km siyo ujasiri wa Mh Rais
Najua ndugulile kawateka wajumbe wengi kiushabiki.
Ila busala za wilaya na mkoa na taifa kwa ujumla ndio zitatoa mstakabari mzima.
Kama hujajua Makonda Kigamboni kapigwa chini!!Aliyoyafanya makonda hadi kufikia dar es salaam ikawa ilivyo sasa czani km hastaili kuwa mshindi ktk mchakato huu.
Ndugulile kipindi cha covid-19 alitaka tufe km siyo ujasiri wa Mh Rais
Najua ndugulile kawateka wajumbe wengi kiushabiki.
Ila busala za wilaya na mkoa na taifa kwa ujumla ndio zitatoa mstakabari mzima.
Hiyo ni law of nature, halafu kavaa magwanda kama ya kuvamia clouds siku ile!!Ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga.What goes around comes around.To every action there is an equal and opposite reaction.
Usishangae kwa surprise utakayoipata. Atateuliwa na JPM.Kwisha habari yake
Ameisha huyu.Usishangae kwa surprise utakayoipata. Atateuliwa na JPM.
Ukiona mtu hata vitu vya kawaida, vya kutumia akili ya kawaida yeye kila kitu ni Mungu basi ujue hana akili.
Ah wap...mie mpite msipite Niko vilevile..relax. mwanamke unatafta Vita wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza mwambie a-edit bio yake ya insta bado kaandika RC mwabie aifute anajisahau Sana, au anamaanisha Roman Catholic
ahaahaaaKwisha habari yake
Afu ujue huwa nakuheshimu Sana...🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani Sasa zile raha alizokuwa anakula kuliko watu wore duniani itakuwaje?Arudi kwao Koromije.
Kila lenye mwanzo lina mwisho,Akale dagaa sasa.Jamani Sasa zile raha alizokuwa anakula kuliko watu wore duniani itakuwaje?
hAYO MAGWANDA YA JESHI GANI NA CHEO KIPI NA KAPEWA NA AMIRI JESHI YUPI? " kauli,kauli,kauli!"Paul Makonda amesema haya...
“Nimepata pole nyingi sana kutokana na matokeo ya jana, kwanza nawashukuru kwa upendo wenu na maombi yenu ya kunitakia mafanikio katika kutimiza NDOTO yangu”
“Jambo moja kubwa ni muhimu ni kuyajua mapenzi ya Mungu na katika hili mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu, nawatakia baraka na afya njema siku zote za Maisha yenu, Asanteni sana sana Wana KIGAMBONI kwa upendo wenu na kunipa nafasi niwe sehemu ya Maisha yenu”