Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

Last kicks of a dying lamb after butcher's sword has passed through the wind pipe
Hahahhh maneno ya mkosaji sio! Rotten rat stinks. Mungu ni wetu sote naibu raisi Nasi tuliomba kwa Mungu wetu wa Kweli sasa Tunarudi kumshukuru Mungu wetu wa kweli.

Maombi yanaendelea Kawe Baba akatende muujiza
 
Alafu kuna wapuuzi wapo busy kusema 2025 makonda anachukua urais. Watanzania ni wajinga lakini sio to that extent.
 
Lakini mzee baba hawezi kumuacha kwnye zile nafasi 10 zake lazima atamuweka

Ova
 
Kwanza nimpe pole Makonda kwa matokeo ya jana!

But I’m confused, “Asanteni....na kunipa nafasi niwe sehemu ya Maisha yenu”. Is he in denial?
Yeah that's one of the kind of diffence mechanism,,,so as to relieve fu#@@ pain
 
Mara nyingi mtawala huzungugwa na wanafiki ambao humwimbia wimbo mzuri wa kumsifia kuwa yeye anapendwa sana na watu.
Ukitoka madarakani hawa jamaa hata simu hawatakupigia tena. Huku mitaani ukipita unazomewa kama Lowassa alivyokuwa anazomewa hata kufikia gari lake kutupiwa mawe.
Sasa hivi simu ya Makonda haiku busy kama zamani.
Jaribu kupiga na utapokelewa na yeye tofauti na zamani.
 
Watanzania tunaongozwa zaidi na chuki, hivi huyu kijana amewafanya nini? Kuanguka kwake we we binafsi unanufaikaje?
Dharau, majivuno, kebehi, misifa, kujimwambafai, kiburi n.k vimemfanya Watanzania wefurahie kukosa kwake kura za maoni
 
Back
Top Bottom