Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Mbele kwa mbele!
Mbele kwa mbele!
 
Nafasi hii itamuelemea sana makonda kuna hoja nyingi atashindwa kuzitolea maelezo kutokana na MADHILA YALIYOTOKEA NDANI YA ILIYOKUWA AWAMU YA TANO.
N. B-NAFSI HII INATAKA MTU SAFI.
Time shall tell.
(Tujiandae kwa magenge mbalimbali)
1-Genge la wizi wa kura
2-genge la propaganda za kila aina.
N. K, N. K,
 
Atawachongea wenzake mpaka wafukuzwe
 
Uteuzi huu binafsi nimeukubali nadhani ni wakati sasa wa kumpata katibu mkuu anayeendana na nyakati za sasa ndugu Chongolo apangiwe kazi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…