Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Kama ulikua huelewi kwanini Tz ni nchi maskini, mpaka sasa unapaswa uwe umeelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods wanafutaMwenye Ile Picture Aiweke Hapa
Mbele kwa mbele!View attachment 2789085
Ndugu Paul Makonda ameteuliwa na CCM kuwa Katibu Mwenezi.
===
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Dokta Samia Suluhu Hassan, pamoja na masala mengine, imeridhia kwa kauli moja na kuielekeza Serikali kuendelea na hatua ya utiaji saini mikataba ya uendelezaji na uwekezaji wa bandari.
Aidha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, imefanya mabadiliko madogo ya Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kwa kumteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, akichukua nafasi ya Ndugu Sophia Edward Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masala ya Wanawake, Watoto na Makundi Maalum.
Halmashauri Kuu ya CM Taifa pia imemteua Ndugu Rabia Abdallah Hamid kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), akichukua nafasi ya Ndugu Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki.
Aidha katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imezipongeza Serikali zake zote mbili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dokta Samia Suluhu Hassan na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, chini ya Rais Dokta Hussen Ali Mwinyi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kazi kubwa na nzuri ya kuendelea kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 - 2025.
===
Pia soma: Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

Akueleze vipi?Mama atueleeze anafanya haya kwa maelekezo ya nani?
Kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Ulitaka kusemaje labda kuwa Nape kaletewa Boss wake karibu?Aisee, ila kwa CCM hii ilimuhitaji NAPE au MAKONDA.
nilikuwa sijui!Unafiki.
Wa kwanza kukupa hongera au pole ndiye mchawi wako.
Hiyo ndio kanuni ya maisha
Kabisa.Karibu mezani tuendee kula, lakini sasa please Observe Table Manners.
Kuna wakubwa na wadogo lakini sisi sote ni kundi moja lenye lengo moja.
Kaa kwenye nafasi yako na angalia kamba yako inapoishia,
Hiyo nafasi inahitaji mropokaji kama Paulo 😀😀😀,akiropoka jambo week nzima mjadala ni huo tuYaani hapa kacheza sasa CCM inarudi kwenye ukubwa wake ule ule kama zamani maana ilipoteza popularity
Atawachongea wenzake mpaka wafukuzweKuna kila dalili za uhaba wa viongozi ndani ya CCM. Cheo hiki huwa kinastahili mtu mwenye uzoefu wa kutosha, hekima, ushawishi na mjuzi wa kuongea bila kuzua taharuki. Makonda vipaji hivyo hana, zaidi sana anauwezo wa kutawala. Lkn siyo mbaya kikubwa watulindie amani yetu na rasilimali zetu.
Konekshonialiwaonyesha vyeti au ndio imeenda hivyohivyo kwabababu
Good!
Opposition parties usingizi kwishaaa!
Ccm wanajua hayo yote ndio maana wamempa teuziNafasi hii itamuelemea sana makonda kuna hoja nyingi atashindwa kuzitolea maelezo kutokana na MADHILA YALIYOTOKEA NDANI YA ILIYOKUWA AWAMU YA TANO.
N. B-NAFSI HII INATAKA MTU SAFI.
Time shall tell.
Pimbi wewe na huyo bwege mliyemteuaWewe pimbi endelea kuumia! Wengine tunafurahia! Ulitaka ateuliwe Lema!?
Uteuzi huu binafsi nimeukubali nadhani ni wakati sasa wa kumpata katibu mkuu anayeendana na nyakati za sasa ndugu Chongolo apangiwe kazi nyingineView attachment 2789085