Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Nimekuwa nikiunga mkono Siasa za awamu ya sita kwa muda Sasa, ila kwa Sasa natangaza kukaa pembeni kwa muda ili niangalie masuala katika mtazamo stahiki, kwenye kusifu ntasifia, kwenye kukosoa, ntapiga msumari

Wewe ni nani hasa kwenye nchi hii?
 
Anataka kusikika yeye, kuandikwa yeye na kusema yeye. Watu wasahau changamoto zao wamuone yeye ndio changamoto na ndio fursa. Tukilala tukiamka uchaguzi huu hapa tumesahau hoja zote mahsusi tumebaki na swala la Makonda
Soon atatakiwa aeleze kwa nini alitaka kumuua Lisu
 
Mama amewapooza sukuma gang kupitia teuzi ya Bashite. Ndio siasa zilivyo hamna adui wa kudumu ila kuna maslahi ya kudumu

Pole sana
 
Unafiki mtupu.

Makonda sio kielelezo pekee cha ubaya uliopo CCM kwa sasa.
 
Msikilizeni hapa ,Rais Ajaaye !!.

Wale wa Gesi za Bure, Wizi wa mabando, imeisha hiyo !!.

Anzeni kuwekeza Nje Mdogo Mdogo , ili Muda ukifika, aahhh mnatuachia Nchi yetu.

Makonda akabidhiwa Fimbo ya HAYATI, BABA WA TAIFA, MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE !!
 
View: https://youtu.be/ROWpgX0yxgc?si=w0QZUzoWNLsazmft

Kwa kigezo cha kuwa na matako makubwa? Tanzania ina watu wenye upeo mdogo wa kufikiri!! Huyu nyang'au jela inamsubiri mara Samia akitoka madarakani
Screenshot_20231111_190308_Google.jpg
 
Msikilizeni hapa ,Rais Ajaaye !!.

Wale wa Gesi za Bure, Wizi wa mabando, imeisha hiyo !!.

Anzeni kuwekeza Nje Mdogo Mdogo , ili Muda ukifika, aahhh mnatuachia Nchi yetu.

Makonda akabidhiwa Fimbo ya HAYATI, BABA WA TAIFA, MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE !!
Wagalatia mnachekesha,mna ubinafsi!
 
Msikilizeni hapa ,Rais Ajaaye !!.

Wale wa Gesi za Bure, Wizi wa mabando, imeisha hiyo !!.

Anzeni kuwekeza Nje Mdogo Mdogo , ili Muda ukifika, aahhh mnatuachia Nchi yetu.

Makonda akabidhiwa Fimbo ya HAYATI, BABA WA TAIFA, MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE !!
Burundi na Tanzania, ilikuwa Nchi moja kabla ya wakoloni kuingia kutugawa.

Tusubiri.
 
Back
Top Bottom