Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Ndio kwanza ameanza kufikia uchaguzi wa serikali za mtaa mambo yatakuwa ni 🔥🔥🔥
 
Sijui nini kilimpata Mama yetu hadi kuja na jina la huyu mtu..TISS hawakufanya kazi yao vizuri?..Usalama wa CCM?..Baraza la Washauri?..au alishauriwa akapuuzia?..time will tell!
 
Anataka kusikika yeye, kuandikwa yeye na kusema yeye. Watu wasahau changamoto zao wamuone yeye ndio changamoto na ndio fursa. Tukilala tukiamka uchaguzi huu hapa tumesahau hoja zote mahsusi tumebaki na swala la Makonda
mwakani mjitokeze kwa wingi kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa, msijisahau sana...
 
Anataka kusikika yeye, kuandikwa yeye na kusema yeye. Watu wasahau changamoto zao wamuone yeye ndio changamoto na ndio fursa. Tukilala tukiamka uchaguzi huu hapa tumesahau hoja zote mahsusi tumebaki na swala la Makonda
Hawezi kufanikiwa someni kuhusu Ostracism, human herding, autocratic leadership in politics. self-absorbed groups and social inference. Hivi vyote tunavijua
 
Walioko juu kwenye ccm hawakijui maana wamekikuta na Wala hawajui maudhui yake wanadhani polisi wataendelea w kuwakingia kifua

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Anataka kusikika yeye, kuandikwa yeye na kusema yeye. Watu wasahau changamoto zao wamuone yeye ndio changamoto na ndio fursa. Tukilala tukiamka uchaguzi huu hapa tumesahau hoja zote mahsusi tumebaki na swala la Makonda
Rekebisha, si kuuvuruga uma bali ni kuwavuruga zaidi CCM.
 
Anataka kusikika yeye, kuandikwa yeye na kusema yeye. Watu wasahau changamoto zao wamuone yeye ndio changamoto na ndio fursa. Tukilala tukiamka uchaguzi huu hapa tumesahau hoja zote mahsusi tumebaki na swala la Makonda
Hawezi kuuvuruga umma badalayake ataivuruga CCM
 
In short Jamaa Anajijenga yeye badala ya chama.....ndo yale yale ya Jiwe na chama cha ma-mbuzi
 
Nimekuwa nikiunga mkono Siasa za awamu ya sita kwa muda Sasa, ila kwa Sasa natangaza kukaa pembeni kwa muda ili niangalie masuala katika mtazamo stahiki, kwenye kusifu ntasifia, kwenye kukosoa, ntapiga msumari
 
Back
Top Bottom