bitare
Senior Member
- Jul 13, 2023
- 196
- 599
Ukitafakali sababu za kumteua Poul Makonda nikama zilezile za kumteua kuwa wazili mkwe wake Mohamed O Mchengelwa , yuule mwenye kifua kipana kama alivyo jisemea Mama mkwe wake, waede wakakandamize Democrasia ndo iwe pona yao wamepoteza imani kwa wananchi hawana sela tena imebaki ni mabavu tu alitaka kujalibu kuendesha nchi kidemokrasia ila ameona ilivyo vigumu, ulizoea vyakunyoga !! Ulidhani utaweza vya kuchinja?