Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

FB_IMG_1575390792397.jpg

Karibu Lumumba.
 
Hilo sio uongo ni kweli,lakini hawasemi sababu ya Makonda kupigwa marufuku hiyo.
Kunyima watu haki ya kuishi au hukusoma? kama ni mashoga rejea kauli ya serikali bungeni wakati alipoanzisha kampeni dhidi ya mshoga 'KWAMBA HUO NI MSIMAMO WA MAKONDA NA SIO MSIMAMO WA SERIKALI, NA SERIKALI ITAENDELEA KUHESHIMU NA KULINDA HAKI ZA WATU WA MAPENZI YA JINSIA MOJA" Serikali iliyopo wakati huo ni ya chama hicho hicho kilichopo wakati huu ambapo yeye leo ni mwenezi wa chama hicho. Wewe angalia usiwe miongoni wa wajinga
 
Huo ndio ukweli mchungu na haijalishi anaongelewaje

Vyama vyote Vya Siasa isipokuwa CCM na ACT Wazalendo vimejikita kumjadili Makonda na kusahau majukumu yao mengine ikiwemo Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu

Ikumbukwe Makonda alikuwa mbunge wa Bunge la Katiba na sasa atasimamia Elimu ya Katiba ya miaka 3

Kadhalika Makonda alikuwa RC wa DSM walipo DP World

Jumaa Mubarak 😀🌟
 
Ni jambo la kusikitisha sana. Yaani ebu fikiria mtu kama Erythrocyte, kaachana na na Kila kitu cha Chadema, sijui Operation+255 na kutwa kucha yeye na Makonda tu. Hadi unakubaliana na kauli ya Makonda kuwa hakuna vyama vya upinzani bali watoa taarifa!
 
Vyovyote itakavyokua ukweli ni kuwa waliofurahi ni wachache kuliko wasio na furaha kwa Bashite kurudi, kuna wachache waliowahi kushinda? jibu ni NDIO lakini ushindi ulikuwa kwa muda mfupi, basi tuamini hata sasa ushindi wa wachache utakua wa muda mfupi vilevile, sio rahisi kuubeba mzigo unaochosha mgongo na mabega, 2025 hatuwezi kwenda na Bashite kama mwenezi, haihitaji kuwa jikoni kujua haya.
 
Daudi Albert Bashite ndani ya nyumba. Kuanza tu mikwara kibao utafikiri amepewa cheo cha ukatibu mkuu wa chama.
 
Disgrace, misfortune and complete shamefull decision.
Sitosahau alitamani kuwapiga watumishi wa serikali (bila kujali umri) fimbo, kosa eti waliomba MASLAHI yao yaboreshwe...
Hii nchi hatutotoboaa...
 
Tukiwa na kumbukumbu au tuwakutumbushe wadau huyu bashite asidhani yupo mahali pazuri sana kusimama asisahau Aliydhalilisha Mh Kikwete ni yeye Kinana ni yeye Mpango ni yeye Ridhiwani ni yeye Nape ni yeye alidiriki kuwaita wauza madawa na Bado wapo waliopo nje ya mfumo kwake yeye kuwa katikati yao asidhani yupo salama sanaa au wamesahau wapo kimya ili muda uongee na Mh no moja asimwamini sana kisa alimtabiria kuwa alipo ataweza kuangaka nae
 
Na yeye adui mkubwa naona amejiandaa
Tusubiri yajayo maana na nyie kwa uchawi hamjambo 😄
 
Tukiwa na kumbukumbu au tuwakutumbushe wadau huyu bashite asidhani yupo mahali pazuri sana kusimama asisahau Aliydhalilisha Mh Kikwete ni yeye Kinana ni yeye Mpango ni yeye Ridhiwani ni yeye Nape ni yeye alidiriki kuwaita wauza madawa na Bado wapo waliopo nje ya mfumo kwake yeye kuwa katikati yao asidhani yupo salama sanaa au wamesahau wapo kimya ili muda uongee na Mh no moja asimwamini sana kisa alimtabiria kuwa alipo ataweza kuangaka nae
Kwa vyovyote vile,kabla ya kuteuliwa walishakaa na mahasimu wake wakayamaliza.
 
Back
Top Bottom