Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
SAFI SANA NA HONGERA , PAUL MAKONDA πππ€π€π€π€.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona machadema mmeshaanza kupata moto na kuwehuka.Pimbi wewe na huyo bwege mliyemteua
Makomba ndio nani?SAFI i SANA NA HONGERA , PAUL MAKOMBA πππ€π€π€π€.
Huu ni uteuzi bora kabisa katika miaka hii mitatu ya Rais samia.na unaweza kuwa uteuzi wa kihistoria kuwahi kufanywa ndani ya chama.
Wanajua fika ni controversial kwahio lengo kuu ni kututoa kwenye hoja ya Bandari ili tujadili uteuzi wa huyu kiongozi wa "wasiojulikana" wa Awamu ya Tano.Ccm wamelenga nini kwa huu uteuzi ?
Mtapoteana sana huku kwenye Sacco's yenu ya CHADEMA maana mpaka sasa mmechanganyikiwa kabisa..sidhani kama ataiweza hiyo kazi bila kuwa na genge la watekaji.
Wabongo wanafata waridi mahala lilipoWabongo wanafiki sana,Leo comment nyingi zinaonyesha kufurahia the coming back of Bashite
Binafsi uteuzi huu nausherekea sana. Paul Makonda anastahili sana kuwa kiongozi. Ni nani asiyejua kuwa Paul Makonda kichwa chake kinafanya kazi vizuri? Paul anauthubutu. Paul anandoto. Paul ana authority.View attachment 2789085
Ndugu Paul Makonda ameteuliwa na CCM kuwa Katibu Mwenezi.
===
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Dokta Samia Suluhu Hassan, pamoja na masala mengine, imeridhia kwa kauli moja na kuielekeza Serikali kuendelea na hatua ya utiaji saini mikataba ya uendelezaji na uwekezaji wa bandari.
Aidha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, imefanya mabadiliko madogo ya Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kwa kumteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, akichukua nafasi ya Ndugu Sophia Edward Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masala ya Wanawake, Watoto na Makundi Maalum.
Halmashauri Kuu ya CM Taifa pia imemteua Ndugu Rabia Abdallah Hamid kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), akichukua nafasi ya Ndugu Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki.
Aidha katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imezipongeza Serikali zake zote mbili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dokta Samia Suluhu Hassan na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, chini ya Rais Dokta Hussen Ali Mwinyi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kazi kubwa na nzuri ya kuendelea kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 - 2025.
===
Pia soma: Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!
Kila mtanzania anatambua kuwa Makonda ni komandoo wa siasa za Tanzania na anakwenda kuwalaza na viatu wapinzani hapa nchini.Wabongo wanafiki sana,Leo comment nyingi zinaonyesha kufurahia the coming back of Bashite
Makombora yapi wewe wakati mpaka hapa upinzani umeshazirai na upo ICU baada ya kusikia taarifa za uteuzi wa Paul makondaMakonda siyo tishio tena Kwa nafasi aliyopewa. Ajipange kupokea makombora kutoka Kwa wapinzani wake ndani na nje ya chama.
Wewe huteuliwi utabaki tu kurushiwa mifupa wakati wenzako wanakula minofu.Kila mtanzania anatambua kuwa Makonda ni komandoo wa siasa za Tanzania na anakwenda kuwalaza na viatu wapinzani hapa nchini.
So ile michezo mnairudisha Tena ? Unknown personMtapoteana sana huku kwenye Sacco's yenu ya CHADEMA maana mpaka sasa mmechanganyikiwa kabisa
Tayari nimerekebisha, na wewe unaweza rekebisha pia. πππ,Makomba ndio nani?
Hakika wabongo hawaaminiki kabisa....nikikumbuka walivyokuwa wanamsimanga humu nachoka kabisaWabongo wanafata waridi mahala lilipo
Hana Elimu huyo hawezi kula na wakubwa nimemshauri arudi shule asomeWewe huteuliwi utabaki tu kurushiwa mifupa wakati wenzako wanakula minofu.