Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Show me your friends........ halafu eti kuna walemavu wa akili wanasema sijui nani anaupiga mwingi.
Chama chochote chenye nia njema lazima kijitenge na aina yoyote ile ya uchafu hata ule wa kisingiziwa tu, lazima wajiulize kwanini usingiziwe wewe?
 
Ccm inatapa tapa imeishiwa pumzi.....imebaki inaokota okota yeyote
 
Sema hii nafasi asipoitumia vizuri itamwaribia kila kitu then naona kapewa ili kuua mjadala wa bandari
Wameona pia CCM imepwaya sana,Kwa hiyo inahitaji mtu mwenye mipango kazi na asiye muoga anayeweza kuropoka na ku dare kwenye jambo lolote pasipo uoga wowote...Kuhusu bandari wanajua watanzania ni wazee wa matukio
 
Sikubaliani na uteuzi huu. Lakini,kama alivyosema Nkurumah,freedom is the right to mismanage your own affairs. Kwa hiyo, CCM ,they have a right to mismanage their own affairs.
I am not suggesting haiwezi ile kazi ya Katibu Mwenezi,isipokuwa I don't understand this recycling of these people.
Kwa hiyo nadhani nimempunguzia Ben Mallissa adha ya kusema maneno mazito dhidi ya huu uteuzi.
 
Makonda kafanya maisha ya wengi yawe magumu mnamrudisha wa nini ?

alipoondoka alihojiwa ofisini alisema anachojutia hajafanikiwa kuwapima wanaume wa Dar tezi dume (kwa njia ya dole)

Hapa stop ya kwanza anaenda kuendeleza visasi vyake.
Safarii akicheza na wahuni watantengenezea ajali mbaya
 
Sikubaliani na uteuzi huu. Lakini,kama alivyosema Nkurumah,freedom is the right to mismanage your own affairs. Kwa hiyo, CCM ,they have a right to mismanage their own affairs.
I am not suggesting haiwezi ile kazi ya Katibu Mwenezi,isipokuwa I don't understand this recycling of these people.
Kwa hiyo nadhani nimempunguzia Ben Mallissa adha ya kusema maneno mazito dhidi ya huu uteuzi.
Team makonda stand up.
Yaaani bado hamjasema
 
Back
Top Bottom