Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Nakubaliana na wadau sasa WANAUME KWA WANAUME TUOWANE, kwani Mungu na marekani nani BORA?
 
Nyanjomigire,
Wewe labda ndiyo mwenye shida ya kwenda USA, kwa nini sijui! Hayo ya thinking capacityyanahusu nini, hapa ni hoja tu, tena zenye evidence.Unajua kuwa USA has the highest level and number of POOR PEOPLE IN THE WORLD? Unajua kuwa USA ndiyo yenye HOMELESS PEOPLE WENGI IN THE WORLD? Wewe meza ya watu na uyatoe humu JF bila evidence.
 
Data zako sio realistic ni chuki tu labda out of religious fanaticism, after all, ndio by far the most visited country in the world and only fool will argue this.
 
Data zako sio realistic ni chuki tu labda out of religious fanaticism, after all, ndio by far the most visited country in the world and only fool will argue this.
And fools are many including those who argue without their senses leading them. OK sawa hata kama ndiyo the most visited country in the world, SO WHAT!? Hizo ndiyo data halisi, labda tu kama hutaki out of blinded love to the US ambalo siwezi kulisemea. Endelllea tu na malove yako to USA and continue defending them on useless things.
 
Nakubaliana na wadau sasa WANAUME KWA WANAUME TUOWANE.....kwani mungyu na marekani nani BORA?
Lakini POMPEO kashindwa kuwa mkweli kwenye hili la kumpiga marufuku RC wetu Paul Makonda kuingia USA. Ukweli ni kwamba RC Makonda kawa na yuko mstari wa mbele katika kupiga vita USHOGA, ULAWITI, USAGAJI, NDOA ZA JINSIA MOJA NA UCHAFU MWINGINE WA AINA HIYO. Hiyo ndiyo sababu KUU ya hilo fungio la US kwa RC Makonda. Hakuna NINI WALA NINI! Watanzania tuna hulka ya kusahau mambo mengi sana, hili KATAZO la USA kwa RC Makonda ni mwendelezo wa maamuzi kama hayo yaliyo fikiwa na nchi za Ulaya na USA tangu mwaka 2010 kule Geneva. Waingereza walitutishia sana on this, lakini hawakuchkua hatua, leo US inachukua hatua za KITOTO ukilinganisha na maamuzi yale ya Geneva ambayo yalikuwa ni kuziwekea vikwazo vya kiuchumi na kisiasa nchi nyingi zinazopinga sana mauchafu hayo hapo juu ikiwa ni pamoja na sisi, Tanzania, Uganda na nchi nyingine nyingi za Afrika. Haya leteni HOJA on this siyo vioja na vihoja! Nawasilisha.
 
La Ushoga umekosea wala halina nguvu. Maana hata mlengwa naye ni shoga
 
Poor reasoning based on religious bigotry. I'm not arguing out of passion as you may think but on facts, you can't argue with the facts.
 
Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..

USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
Mbona misaada na mikopo yao mnaitaka kwa nguvu zote, itangazieni dunia kwamba mnahitaji kuishi kivyenu Kama mko Mars [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think the next one is DPP. Biswalo Mganga sali sana huko ulipo.

Kesi za kina Kabendera na Tito na kina Zitto zitaenda na wewe
Wakikaa kula na kusaza wanapayuka kwani marekani niende kufanya Nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukipigwa "Ban travel"na Uncle Sam ni sawa na kupakwa mavi mwili mzima halafu uambiwe katembee kariakoo...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa Lissu anaogopa kurudi nchini akihofia usalama wake, Membe hawezi kukubaliwa na wana Chadema kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama hicho kutokana na experience chungu waliyonayo kutoka kwa Lowasa ila pia kwa kuwa Mbowe hamna mtanzania mwenye akili timamu anaeweza kumuamini kumpa nafasi ya uraisi wa taifa hili hata angekuja na tiba ya korona nashauri Chadema wamuombe na wamshawishi Mike Pompeo akiwakilishe chama hiki katika mbio za uraisi mwaka huu.. Bila hivyo sioni wanachomokea wapi time hii
 
Pompeo aliona mbali sana.
 
Haka kajamaa kanatisha sana, mjitaifa mkubwa km huo unamuongelea mwana kijiji wa Kolomije? hili taifa size yake Urusi, Iran, Ningekuwa mimi Makonda ningejidai sana, tena ningewalipizia nampiga mkwara huyo aliyetamka huo mkwala " kuwa na yeye asikanyage mkoa wangu wa Dar es salaam"
 
Asa hivi amekuwa mzururaji sio RC Tena mkuu[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…