Lakini POMPEO kashindwa kuwa mkweli kwenye hili la kumpiga marufuku RC wetu Paul Makonda kuingia USA. Ukweli ni kwamba RC Makonda kawa na yuko mstari wa mbele katika kupiga vita USHOGA, ULAWITI, USAGAJI, NDOA ZA JINSIA MOJA NA UCHAFU MWINGINE WA AINA HIYO. Hiyo ndiyo sababu KUU ya hilo fungio la US kwa RC Makonda. Hakuna NINI WALA NINI! Watanzania tuna hulka ya kusahau mambo mengi sana, hili KATAZO la USA kwa RC Makonda ni mwendelezo wa maamuzi kama hayo yaliyo fikiwa na nchi za Ulaya na USA tangu mwaka 2010 kule Geneva. Waingereza walitutishia sana on this, lakini hawakuchkua hatua, leo US inachukua hatua za KITOTO ukilinganisha na maamuzi yale ya Geneva ambayo yalikuwa ni kuziwekea vikwazo vya kiuchumi na kisiasa nchi nyingi zinazopinga sana mauchafu hayo hapo juu ikiwa ni pamoja na sisi, Tanzania, Uganda na nchi nyingine nyingi za Afrika. Haya leteni HOJA on this siyo vioja na vihoja! Nawasilisha.