BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Mabeberu bwana. Wamemkomoa nani? Makonda aliwaambia ana haja ya kwenda huko kwao?
Duh! Sikujua mkuu. Nafahamu ana mtoto wa maabara ila sifahamu kama alimpata hukoSi ndipo alipoenda kupata surogate. Kwa hivyo angehitaji mtoto angeenda tena.
Kitakacho muokoa kunyea debe ni kifo tu kabla ya hukumu.Huyo bado ila iko siku lazima atakuja kunyea debe kwa maovu aliyofanya ikiwa ni pamoja na kuunda genge la wasiojulikana.
Ndiyo imeshakuwa hivyo kwani unasemaje?Sasa itakuwaje ?
WalaaaaaNdiyo imeshakuwa hivyo kwani unasemaje?
HakikaCCM NI SIKIO LA KUFA📌📌
Mnapata wapi ujasiri wa kumrudisha Makonda kwenye system ya uongozi tena.?
Hii ni aibu mpaka kwa mataifa mengine kuona tz imekosa watu mahiri wa kuongoza taifa hili.
Huyu mwenyewe tuhuma za kuvunja haki za binadamu ndio awe kiongozi.
Huyo murderer hafai !!!
Mwandishi kamuhoji!Ni vizuri kuhoji. Shutuma na tuhuma zilikuwa nyingi sana dhidi yake mpaka watu wakachoka na kuamua kukaa kimya tu. Muda umefika sasa, hatua stahiki zichukuliwe kabla hatujachelewa zaidi.
Nani anayo hiyo kanda??Sisi hatuamini(matomaso) waweke hadharani Kanda ya video ya lissu tu alivyopigwa risasi itatosha kuamini
Mataifa gani?CCM NI SIKIO LA KUFA[emoji419][emoji419]
Mnapata wapi ujasiri wa kumrudisha Makonda kwenye system ya uongozi tena.?
Hii ni aibu mpaka kwa mataifa mengine kuona tz imekosa watu mahiri wa kuongoza taifa hili.
Huyu mwenyewe tuhuma za kuvunja haki za binadamu ndio awe kiongozi.
Huyo murderer hafai !!!
Mazuio ya Marekani ni ya Kitaifa , yanadumu tawala zoteEnzi za Pompeo!
Sentensi ya mwisho umeiandika kiupole sana hadi hurumaMataifa gani?
Hii hii marekani inayomtetea Netanyahu na mauaji ya watoto?
Wakwende zao!!..
Siyo lazima kwenda huko na maisha yataendelea
Hivi unajuwa kuwa Makonda hasimamishi m boo na hivyo hawezi kumzalisha mkewe? Je unajuwa kuwa alipokwenda USA mwaka 2016 na 2017 ndipo mkewe alipandikizwa mbegu za kiume toka maabara?Mataifa gani?
Hii hii marekani inayomtetea Netanyahu na mauaji ya watoto?
Wakwende zao!!..
Siyo lazima kwenda huko na maisha yataendelea
Mjinga huyo eti sio lazima kwenda huko....huenda ana matatizo kama Bashite Makonda....Sentensi ya mwisho umeiandika kiupole sana hadi huruma
Sasahiv anatokaSasa hivi hata kutoka nje ya dar anaogopa.