Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Mabeberu bwana. Wamemkomoa nani? Makonda aliwaambia ana haja ya kwenda huko kwao?
 
CCM NI SIKIO LA KUFA📌📌

Mnapata wapi ujasiri wa kumrudisha Makonda kwenye system ya uongozi tena.?
Hii ni aibu mpaka kwa mataifa mengine kuona tz imekosa watu mahiri wa kuongoza taifa hili.
Huyu mwenyewe tuhuma za kuvunja haki za binadamu ndio awe kiongozi.
Huyo murderer hafai !!!
 
Hakika
 
Ni vizuri kuhoji. Shutuma na tuhuma zilikuwa nyingi sana dhidi yake mpaka watu wakachoka na kuamua kukaa kimya tu. Muda umefika sasa, hatua stahiki zichukuliwe kabla hatujachelewa zaidi.
Mwandishi kamuhoji!
 
CCM NI SIKIO LA KUFA[emoji419][emoji419]

Mnapata wapi ujasiri wa kumrudisha Makonda kwenye system ya uongozi tena.?
Hii ni aibu mpaka kwa mataifa mengine kuona tz imekosa watu mahiri wa kuongoza taifa hili.
Huyu mwenyewe tuhuma za kuvunja haki za binadamu ndio awe kiongozi.
Huyo murderer hafai !!!
Mataifa gani?

Hii hii marekani inayomtetea Netanyahu na mauaji ya watoto?

Wakwende zao!!..

Siyo lazima kwenda huko na maisha yataendelea
 
Hivi unajuwa kuwa Makonda hasimamishi m boo na hivyo hawezi kumzalisha mkewe? Je unajuwa kuwa alipokwenda USA mwaka 2016 na 2017 ndipo mkewe alipandikizwa mbegu za kiume toka maabara?

Hapo sasa ndipo utajua kwa nini kawa blaclisted
 
Back
Top Bottom