Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
kuna majina mengine matano , mawili kutoka bungeni moja kutoka Polisi , mawili siyataji .Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Uhuru wenu wa kuteka watu?Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..
USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
Wewe ndio punguwani kabisa. Hujui kama Kenya kuna maafisa wa selikali zaidi ya 5 wamepigwa ban kuingia US mwezi uliopita?Sikio la kufa halisikii dawa! Hawa watu hawajui madhara ya kauli zao. Hakyanani nikiona hawa mapunguani wanaendeleza maujinga yao nauza nyumba ya urithi natafuta nchi ya kuhamia Afrika mashariki hata Kenya. Marekani wakikuamulia hauwezi baki salama..na hawa jamaa hawajui diplomasia kabisa.
Mnaua watu bila makosa mnasingizia ushoga? Mashoga waliojaa ccm huwaoni?Sasa tunaelekea rasmi kuwa Taifa linaloruhusu Ushoga, ambao watetezi wake ni Zito, Fatma karume na Maria Sarungi.
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.
Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.
Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.
Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.
View attachment 1342609
Huu ni urongo bwashee!
Hao wamezuiwa kuingia Marekani kwa kushiriki biashara ya madawa ya kulevya. Nao pia unaona ni watu wazuri?Wewe ndio punguwani kabisa. Hujui kama Kenya kuna maafisa wa selikali zaidi ya 5 wamepigwa ban kuingia US mwezi uliopita?
CC:WakudadavuaSerikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.
Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.
Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.
Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.
View attachment 1342609
Uhitaji wa kutokwenda US wa makonda wewe unaujuaje, unafikiri yule keagan kapatikana kikawaida tu?Taifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
Tunajua kelele nyingi sababu wamegusa yale mambo ya KY.HAYO NI MANENO YA MKOSAJI. NA BADO NGOJA WABANE MISAADA YOOOTE NDIO MTAJUA USA NINI. HUWEZI CHEZA NA SUPER POWER COUNTRY!!!!!
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Hakika Leo ni Kama krissmass au idi hizi ni habari njema Sana kwa taifa bado baba laoYani hapo zuga tu ila wametuma msg kwa baba mzaa chema..Habari Tamu sana hii kwa siku ya leo..muhudumu embu niongezee safari lager alafu zungusha round
J3 hawa wakina Ndungai wenye kwenda nchi za nje mara kwa mara kutibiwa na wenzake watakua wapole kishenzi wataawachia wabunge kama Msukuma/kibajaji waropoke ropoke maana ukute hao ndio hawana dreams za kwenda US.Tena nimefurahi imetokea wakati wa bunge. Hebu jumatatu CCM walete hoja maalum kama walivyofanya leo kwa zitto waanze kuropoka ropoka takataka zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jambo halihusu zuio pekee , kuwa na akili .Kwani Ukizuiwa kuingia America utakosa Oxygen?
Marekan sio Peponi bana waache kujikweza
Kuna ma Billion ya Watu hawajafika America na hakuna cha maana wanakosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee mbona mapovu mengihao mabeberu nyuma ya vivuli vya demokrasia.
Tumeona namna walivyoipa demokrasia Libya na Iraq, pia afghanistan, hatutaki demokrasia yao wabaki nayo.