Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
kuna majina mengine matano , mawili kutoka bungeni moja kutoka Polisi , mawili siyataji .
 
Sikio la kufa halisikii dawa! Hawa watu hawajui madhara ya kauli zao. Hakyanani nikiona hawa mapunguani wanaendeleza maujinga yao nauza nyumba ya urithi natafuta nchi ya kuhamia Afrika mashariki hata Kenya. Marekani wakikuamulia hauwezi baki salama..na hawa jamaa hawajui diplomasia kabisa.
Wewe ndio punguwani kabisa. Hujui kama Kenya kuna maafisa wa selikali zaidi ya 5 wamepigwa ban kuingia US mwezi uliopita?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.

Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.

Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.

Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.

Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.

View attachment 1342609

Kama kweli sisi ni wazalendo pamoja na tofauti zetu ni lazima Makonda ajiuzulu kwa manufaa ya umma. Mtu mmoja hawezi kutuzuia sisi Watanzania milion zaidi ya 50 mahusiano yetu mazuri ambayo tumeweka. US ndiyo kuna UN na World bank. Vilevile tujue hii ni kama wame bip! kwanza tukae chonjo hivyo ni wakati wa Makonda kustaafu kwa manufaa ya umma. Tukianza mijada yetu ya kitoto kwa wakati mwingine na kuita ubeberu haitasaidia maendeleo ya nchi yetu. Ni lazima tuangalie kwa maslahi mapana sio kisiasa
 
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.

Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.

Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.

Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.

Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.

View attachment 1342609
CC:Wakudadavua

CC:Magonjwa Mtambuka

CC:Kipara Kipya

Habari ziwafikie kutoka mariiikaaaniii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
Uhitaji wa kutokwenda US wa makonda wewe unaujuaje, unafikiri yule keagan kapatikana kikawaida tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lini ulisikia marekani yumo kwenye hiyo mahakama ya ICC wakat yeye si mwamachama?
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P

Hua unajua kuandika sarcasm za kiwango cha juu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tena nimefurahi imetokea wakati wa bunge. Hebu jumatatu CCM walete hoja maalum kama walivyofanya leo kwa zitto waanze kuropoka ropoka takataka zao

Sent using Jamii Forums mobile app
J3 hawa wakina Ndungai wenye kwenda nchi za nje mara kwa mara kutibiwa na wenzake watakua wapole kishenzi wataawachia wabunge kama Msukuma/kibajaji waropoke ropoke maana ukute hao ndio hawana dreams za kwenda US.

Lkn wabunge wengine wa CCM wenye ma-biashara yao/watoto wao wanaosoma huko nje aisee watafunga mdomo kama sio wao.

dodge
 
Back
Top Bottom