Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Wewe ndio punguwani kabisa. Hujui kama Kenya kuna maafisa wa selikali zaidi ya 5 wamepigwa ban kuingia US mwezi uliopita?

Sent using Jamii Forums mobile app
What I know, Kenya is a stable country, respects the rule of law and has strong Democratic institutions unlike this shit hole country, washamba wamepewa nchi Shida tupu.
 
Udakuzi wanaofanya wanaona mipango ya jamaa yote hatari kuanzia Manji, Lissu na wengine kibao naona Magufuli anaanza sasa kuvuna matunda ya udicteta wake.

Huu uchaguzi wa mwaka huu haumuachi mtu salama.
CCM imeshapitia misukosuko mingi sana na mara zote imebaki imara😂😂😂
 
Rais nae afanye chap amuondoe huyu jamaa, hana tena msaada asije ongeza matatizo,
 
Udakuzi wanaofanya wanaona mipango ya jamaa yote hatari kuanzia Manji, Lissu na wengine kibao naona Magufuli anaanza sasa kuvuna matunda ya udicteta wake.

Huu uchaguzi wa mwaka huu haumuachi mtu salama.
Magufuli hasubiri siku alambwe vibao na uyo jamaaa ndo atavuna alichopanda

Makonda atasemaa ni ile vita ya madawa ndo imesababisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waende China wakati hakuna ndege inayoingia wala kutoka? Wacha waende warudi na Corona [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umeongea ujinga wewe mtu[emoji23][emoji23][emoji23] kwa pesa ipi akaita madactari waje kumuhudumia !


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Le mutuz na yeye apigwe marufuku kuingia America kwani alikuwepo kwenye vx lililosimama getini kule Dodoma wakati Tundu Lisu akishambuliwa kwa Risasi na nyaulingo na kikundi chake cha akina kisanduku cyprian Musiba na wenzao, wote wapigwe marufuku kuingia hapa Marekani milele.
 
Wauza madawa ya kulevya na mashoga watakuwa na ubia na Marekani maana ndiyo wanaopata taabu sana kwa Makonda.

Haya tatuliweni marinda salama sasa hapo ufipa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie Jiwe awapige bann kama anaweza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan alianza kwenda lini au unawashwa washwa
kwani zile filamu alizokuwa anapost kipindi yupo kwa mabeberu ilikuwa ni mbagala au New York?.. Zile ishu za kupandikiza zilifanywa wapi?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…