Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Wala sidhani ni hiyo ishu ya ushoga. Maana ile ilitokea miaka kadhaa iliyopita na daudi ashaenda marekani baada ya lile sakata. Hapa nadhani CIA wamefukunyua mauchafu yake huyu jamaa sema hawajaweka tu hadharani..ndio maana wakasema "human rights violations" bila kusema ni violations zipi
Issue ya Kuzuiwa Makonda inatokana na Tamko lake la kuzuia Mashoga sio blaablaa zisizo na ushahidi

Kwa US tamko lile ni kinyume cha haki za Binadamu sio vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.

Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.

Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.

Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.

Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.

View attachment 1342609

Guess what and who is next
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Sizitaki mbichi hizi.

Utawala huu umekuwa wa ajabu haijawahi kutokea. Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, Makonda anakuwa kiongozi wa kwanza kukumbwa na kadhia ya kibano.
 
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.

Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.

Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.

Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.

Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.

View attachment 1342609

walete walete walete dadeki!!
 
Ndo ujue mashoga wanalindwa kuliko hata watoto wa Zitto Kabwe na WB wanaojifungulia mashuleni
 
Hakuna zaidi ya swala la ushoga.
Kwa mujibu wa Le mutuz ambaye alihojiwa na FBI kwa Siri amesema uchunguzi umeonyesha kuwa shambulio la Tundu lisu lilisukwe na kutekelezwa na Daud Bashite ndiyo maana wameanza naye ingawa wana list ndefu ya watu wa kuwawekea vikwazo ambayo wanaifanyia kazi ikiwemo ya wakuu wa wilaya ma RPC na viongozi wengineo
 
Wala sidhani ni hiyo ishu ya ushoga. Maana ile ilitokea miaka kadhaa iliyopita na daudi ashaenda marekani baada ya lile sakata. Hapa nadhani CIA wamefukunyua mauchafu yake huyu jamaa sema hawajaweka tu hadharani..ndio maana wakasema "human rights violations" bila kusema ni violations zipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja wamesema anawanyima watu haki ya kuishi, aka kuendesha kikundi cha watu wasiojulikana.
 
Safi sana Leo wale tunaowaitaga mabeberu wamesikia kilio chetu sie waswahili wa buza na chato

Ndugu daudi albert bashite marekani uisahau kama ulivyosahau hilo jina langu mwisho wako mpakani mwa rwanda na tz marekani utaiona kwenye tv

Nimepokea kwa mikono miwili uamuzi nzuri wa marekani wa kumpiga block bwana daudi bashite maana ndie muhusika haswa wa uhalifu,ugaidi wa kisiasa,kutesa,kuteka raia,na kauli chafu,ufisadi,kushirikiana na magenge machafu ya madawa ya kulevya,ushoga,kutakatisha watu,kuua watu,kuteka watu kwa amri ya bwana mkubwa,nafurahi na nitasherehekea juu ya hili

Malipo ni hapa hapa duniani huu ni mwanzo tu utamu wa sinema unakuja the the stone jiandae kiama chako chaja

Marekani hoyeeeeeee
Pompeo hoyeeee

Nimefurahi sana hapa nagonga tu nyagi kudadeki

Usa baby[emoji631][emoji631][emoji631][emoji631]in nyaningabu voice
Safi sana USA

Sent using Jamii Forums mobile app
Majina mengine matano kuongezwa likiwemo jina la polisi mmoja bwege
 
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Hata zako wanazo.. Usicheze na CIA kabisa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom