Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
this ban against Bashite is based purely on informed sources/resources.Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Serikali ya Marekani inajua kila kitu huwa wanasubiria muda sahihiNaona mambo ya zimbabwe yakiinyemelea tanzania.
Hapo CIA washafanya uchunguzi matukio ya kutekana halafu wakapata jibu wahusika wakuu wakina nani.
FBI kwa kushirikiana na CIA na watanzania ambao ni wakala wao ambao wapo Nchini wamekusanya data za unyama, unyanyasaji na uonevu wao wote, sasa wanaanza na Bashite kisha wengineo watafuata kabla hawajatuma drone kuja kuwasalimia kimya kimya.Eeeh
Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..
USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
Bora aende china akambulie na corona ti afe.
Yatakuwa maajabu ya 8 ya dunia yaani pompeo atumie muda wake kabisa aandike kuhusu bashite-utakuwa anafanya upumbavu wa karne na kujiaibisha.
Umeona mbaliNatafakari pale ambapo kipenzi cha mzee baba atakapoingia US kwa kutumia Jina la Albert Bashite na sio Paul Makonda tena hahah
dodge
CIA wanasema ilikuwa sumuJe Ruge aliuawa ?
Makonda na mambo yake sio serikali. Ndio maana kuna mambo mengi amefanya akaachwa njia panda.
Next up is KabudiSo what...!
So what tena? Si ulisema Pompeo wa Ufipa? Ndio huyo? Wa Ufipa huyo ? Kanyaga twendeSo what...!
Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwaLissu hakwenda kuuza sura marekani, majibu ya ziara yake yanatoka mwaka huu kimkakati.