Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Duh naye ni msukuma tenaNa yule wa TCRA je ?
Iv kumbe tumeula namna hii
Sasa tunakwama wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh naye ni msukuma tenaNa yule wa TCRA je ?
Nashukuru kwa kunisaidia kumjibu, kitu kinacho nikera kwa baadhi ya watanzania ni kutetea kila aina ya ujinga , hapa kwenye akili na wanaojua global politics, makonda kupigwa ban , secretary of state wa nchi kubwa kama marekani Ku tweet kuhusu makonda ujue kuna jambo kubwa zaidi ya kumzuia makonda kuingia marekani. Makonda ameteuliwa tu. Ila Sababu baadhi ya mamtu ni wajinga and have little understanding of global politics, diplomacy and power play watakuwa kutetea kila ujinga, tutapigwa vikwazo hapa vya kiuchumi hapa hata kukuza shamba itakuwa kazi. Kwenye akili kaeni standby, unaweza fumba na kufumbua we are in a worse situation than Zimbabwe, sababu hawa wakubwa wetu ni wazalendo sana kiasi kwamba wanaamini uzalendo wao utashindana na taifa LA marekani, very politically naive. Fuatilia tu comments utaona hili suala watakavyo ligeuza liwe LA kizalendo, wote watakao changia kutoka serikali ichukuwe hatua wataambiwa ni mawakala wa mabeberu!
Aiseeee !!!CIA wanasema ilikuwa sumu
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Sababu yao kubwa ni kunyanyasa makundi maalumu,ambayo mimi tafsiri yangu ya hayo makundi maalumu ni mashoga
Mbona wanajua hata siku yako ya mwanzo kuzinduliwa.Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Ww kuna bebelu na beberu ww ulipigwa ban na kina nani !?hao mabeberu nyuma ya vivuli vya demokrasia.
Tumeona namna walivyoipa demokrasia Libya na Iraq, pia afghanistan, hatutaki demokrasia yao wabaki nayo.
Nadhani Lissu angeruhusiwa kurudi akae humuhumu wajibizane, anavyokaa nje nadhani anakuwa hatari zaidi kwa Taifa, bora arudi tu wamuache afanye siasa zakeTulionya mapema sana lakini tukapuuzwa
Msukuma yule.Vipi line yako ya voda imepona kufungiwa?Duh naye ni msukuma tena
Iv kumbe tumeula namna hii
Sasa tunakwama wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ya Kuzuiwa Makonda inatokana na Tamko lake la kuzuia Mashoga sio blaablaa zisizo na ushahidi
Kwa US tamko lile ni kinyume cha haki za Binadamu sio vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Anashupaza shingoKaka wataka utuue tunaoishi kwa msaada wa Marekani.
Si mnawaita mabeberu? Tulia tuli upandwe, unapiga kelele ya nini.Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..
USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..