Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Na Kabudi anakwambia atahakikisha anapambana kuiondolea Zimbabwe Vikwazo.
Nashukuru kwa kunisaidia kumjibu, kitu kinacho nikera kwa baadhi ya watanzania ni kutetea kila aina ya ujinga , hapa kwenye akili na wanaojua global politics, makonda kupigwa ban , secretary of state wa nchi kubwa kama marekani Ku tweet kuhusu makonda ujue kuna jambo kubwa zaidi ya kumzuia makonda kuingia marekani. Makonda ameteuliwa tu. Ila Sababu baadhi ya mamtu ni wajinga and have little understanding of global politics, diplomacy and power play watakuwa kutetea kila ujinga, tutapigwa vikwazo hapa vya kiuchumi hapa hata kukuza shamba itakuwa kazi. Kwenye akili kaeni standby, unaweza fumba na kufumbua we are in a worse situation than Zimbabwe, sababu hawa wakubwa wetu ni wazalendo sana kiasi kwamba wanaamini uzalendo wao utashindana na taifa LA marekani, very politically naive. Fuatilia tu comments utaona hili suala watakavyo ligeuza liwe LA kizalendo, wote watakao changia kutoka serikali ichukuwe hatua wataambiwa ni mawakala wa mabeberu!

dodge
 
Kaka wataka utuue tunaoishi kwa msaada wa Marekani.
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
 
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Mbona wanajua hata siku yako ya mwanzo kuzinduliwa.
 
hao mabeberu nyuma ya vivuli vya demokrasia.

Tumeona namna walivyoipa demokrasia Libya na Iraq, pia afghanistan, hatutaki demokrasia yao wabaki nayo.
Ww kuna bebelu na beberu ww ulipigwa ban na kina nani !?
 
Back
Top Bottom