Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Wala sidhani ni hiyo ishu ya ushoga. Maana ile ilitokea miaka kadhaa iliyopita na daudi ashaenda marekani baada ya lile sakata. Hapa nadhani CIA wamefukunyua mauchafu yake huyu jamaa sema hawajaweka tu hadharani..ndio maana wakasema "human rights violations" bila kusema ni violations zipi
Issue ya Kuzuiwa Makonda inatokana na Tamko lake la kuzuia Mashoga sio blaablaa zisizo na ushahidi

Kwa US tamko lile ni kinyume cha haki za Binadamu sio vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guess what and who is next
 
Sizitaki mbichi hizi.

Utawala huu umekuwa wa ajabu haijawahi kutokea. Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, Makonda anakuwa kiongozi wa kwanza kukumbwa na kadhia ya kibano.
 
walete walete walete dadeki!!
 
Ndo ujue mashoga wanalindwa kuliko hata watoto wa Zitto Kabwe na WB wanaojifungulia mashuleni
 
hao mabeberu nyuma ya vivuli vya demokrasia.

Tumeona namna walivyoipa demokrasia Libya na Iraq, pia afghanistan, hatutaki demokrasia yao wabaki nayo.
Tuliwambia mkajifanya wajanja
 
Hakuna zaidi ya swala la ushoga.
Kwa mujibu wa Le mutuz ambaye alihojiwa na FBI kwa Siri amesema uchunguzi umeonyesha kuwa shambulio la Tundu lisu lilisukwe na kutekelezwa na Daud Bashite ndiyo maana wameanza naye ingawa wana list ndefu ya watu wa kuwawekea vikwazo ambayo wanaifanyia kazi ikiwemo ya wakuu wa wilaya ma RPC na viongozi wengineo
 
Moja wamesema anawanyima watu haki ya kuishi, aka kuendesha kikundi cha watu wasiojulikana.
 
Majina mengine matano kuongezwa likiwemo jina la polisi mmoja bwege
 
Hata zako wanazo.. Usicheze na CIA kabisa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…