Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Mungu na wanadamu BASHITE apigwa ban
IMG_20200131_220158_807.JPG
Screenshot_20200131-220117.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..

USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
 
Taifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
 
Back
Top Bottom