Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Shida ni mashoga tu. Naona mashoga mmefurahi sana!
Hiki kisingizio cha kishamba pelekeni kwa wavuta Bangi wenzetu huko gheto kwa cyprian Musiba, watanzania siyo wajinga kiasi unavyofikiri, wewe ndiyo shoga unajifurahisha mwenyewe, Mnawabambikia kesi, mnawapiga risasi mnawafanyia kila unyama kila uonevu wapinzani mnadhani Dunia hawaoni?
 
Wewe Titicomb kichwa chako kibakie kufugia nywele tu, kwa hoja hizo ulizoandika hapo, hata bata maji anakuzidi ubongo.
 
Muache kuuwa watu Sababu ya kusemwa, ukisemwa SGR haitafika Dodoma? Ukisemwa ukapotezea utakufa? What about presumption of innocence until proven guilty? MNA weka watu ndani kiholela kwa makosa ya kijinga hamtaki kusemwa na mnataka watu wawe wazalendo? Hebu nendeni huko.
 
Ninachotaka kuuliza; ina maana Wamarekani waishio Dar es Salaam wataondoka na kuja huku Mwanza?
 

P,
Yaani nafikiri watu wengi bado hamjui hawa jamaa wa US sisi tumeishi hapa tunajua A-Z kuhusu hawa jamaa. Hii ni message kwa Serikali yetu ya Magufuli na sio Makonda kibinafsi kama mnavyofikiria. Urusi wakati wanaweka vikwazo waliwawekea marafiki wa Putin na familia zao. Ukisema Magu aanze kushindana na hawa list itaongezeka na hakuna hata kimoja kitakuwa kimesaidia taifa. Inabidi nchi iangalie manufaa mapana ya nchi na sio kibinafsi. Inabidi tuwe waangalifu pamoja na barua nyingi ambazo Watanzania wameandika kuna habari wamepata kwa vyama vya haki vingi sana. Kama wangejua Watanzania ndiyo tulivyo wala wasingeandika barua lakini wanajua ni watu wachache wenye uchu wa madaraka . Hivyo ushauri wangu ni Makonda kustaafu kwa manufaa ya umma na kama sio ajibu barua aeleze kama si kweli kwa facts.

Badala ya kujali Lissu na Zitto wanasema nini na kuwapa kesi za kijinga angalia uhusiano wa Kenya. Sijui kama watu wanatuelewaga tukisema siasa za visasi hazisaidii taifa!

Financing for Nairobi-Mombasa expressway
The construction of the Nairobi-Mombasa expressway expansion project is estimated to cost KES230bn ($2.18bn), which will be partly funded by the US Export Credit Agencies (ECAs).

The Kenyan Government signed a letter of interest with the US Government’s development finance institution The Overseas Private Investment Corporation (OPIC) in September 2016, to finance the Nairobi-Mombasa expressway project.

The US Export-Import Bank also signed a letter of intent with Bechtel in the same month to support the upgrade project.
 
Wameshaweka hadharani mkuu.Kwa kifupi jamaa ni muuaji.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Hivi wakimpiga block na mzee wetu maziri mwenye dhamana kutoingia kwenye malango ya Marekani itakuwaje? Si macho yatadondoka
 
Unakumbuka ile kesi ya Kabendera pale mahakamani alikuja Ambassadors wa US,UK,Ulaya wakawa wanafuatilia ile case baadae wakasepa zao,nadhani kulikua na ujumbe pale kama serikali ilikua inaangalia kwa jicho la 3.
dodge
 
Sababu ni "U.S.H.O.G.A" marekani waseme ukweli tu kuwa hio ndio sababu hasa yakumzuia Makonda
 
Wakuu,
Najisikia kutaka kupasuka kwa kuchekaaaa, ila watoto wamelala nifanyeje usiku huu???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…