Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Sasa pamoja na maajabu hayo, nani alimwambia kuwa ili maajabu yatokee ni lazima awafanye watu kuwa watumwa wake!!?
 

Aaaah mwanadamu mwanadamu tu ushoga ni NO! Again NO! Ila mbinguni tunaenda.


Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
Nakumbuka Rais Mstafu Jakaya Kikwete alishawahisema ukitaka Dunia ikuone we ni mtu mzuri au Nchi yako nzuri Marekani akuseme kwa mema na Ukitaka Dunia ikuone we mbaya Mmarekani akunyoshee kidole kwa kukusema vibaya

Sasa naona kama baada ya uchaguzi Tunaelekea Zibwabwe andazi tutalinunua kwa 10k

Na kama ilivyo Ada vibaraka wa Marekani kama Uengereza Ufaransa Ujeruman Canada Israel Australia n.k lazima wafate na hii wameanza na Matawi bado shina.

Tujitathimi sana viongizi tulio wapa lungu msije kutupa shida kubwa sisi na vizazivyetu. Mfano Zibwabwe kama nchi bado ipo lakini Mugabe kama kiongozi Hayupo lakini angalia wanao umia ni akina nani???

Mnapofanya maamuzi msikurupuke
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anayelazimishwa kuwa shoga lakini pia tusiwalazimishe watu kufanya vile tupendavyo sisi. Kama mtu ameamua kutumia kiungo chake kwa namna anavyoona yeye (bila kuathiri uhuru wa wengine) basi tumuache afanye maana kama ni athari atabakinazo mwenyewe. Tujifunze kuheshimu uhuru na faragha za wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Charles ble Goude zama za ubabe wake chini ya Raisi mbabe Laurent Bagbo

Raisi mbabe Laurent Bagbo na Kijana wake Charles ble Goude wakiwa kizimbani ICJ kujibu mashtaka ya mauwaji Nchi Ivory coast

Picha hii inajirudia katika taifa hili la pwani ya Afrika mashariki.yaani hapahapa nyumbani
 
Hatua hiyo inakuja saa chache baada ya serikali ya Trump kumpiga marufuku mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingia nchini humo.

Bahati nasibu hiyo hutoa viza kwa watu takribani 50,000 kutoka nchi zenye kasi ndogo ya maendeleo kila mwaka kuingia na kufanya kazi Marekani.

Nchi ya Sudani pia raia wake wamepigwa marufuku kuingia katika bahati nasibu hiyo.

Wakati huo huo raia wa nchi nne ikiwemo mbili za Afrika Nigeria na Eritrea wamepigwa marufuku kabisa kuomba viza za kuhamia Marekani.

Marufuku hiyo pia itazihusisha nchi za Myanmar na Kyryzstan.

Hata hivyo raia wa nchi hizo ambao watataka kuingia Marekani kwa kutalii ama biashara wataruhusiwa.
 
Kama alivyorudishwa Hans Pop kiaina, kuna watu ukiwa nao mbali ndio wanakuwa wabaya zaidi kuliko ukiwa nao karibu, maana nirahisi kuchunguza nyendo zao.
Nadhani Lissu angeruhusiwa kurudi akae humuhumu wajibizane, anavyokaa nje nadhani anakuwa hatari zaidi kwa Taifa, bora arudi tu wamuache afanye siasa zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi naona wanaanza kuwatolea macho mafundi simu. Mtu ana kimeza chake kama kidawati cha shule msingi yupo mbele ya duka la mtu alipe kodi. Hali ni mbaya sana. Makonda nakumbuka alimuabisha sana yule mama mwenyekiti nafikiri. Mwingine mkuu wa mkoa anaenda kuchapa wanafunzi. Ndiyo ajue duniani kuna watu wakubwa zaidi yake
Kesho itatafutwa bonge ya kiki ili kuipotezea hii inshu ya Konda boy,usishangae hata kusikia ametangaza kuongeza wafanyakazi mishahara wkt anajua mpunga ni kushnehiiiiii hahah.

dodge
 
Niliona majuzi mafundi simu Arusha wanaambiwa hizo mambo,majuzi RC wa Moro kawaweka ndani walimu kisa matokeo ya shule zao hayajakaa vzr.

Nadhani wataanza kuelewa duniani hii ina wababe wake mkuu.






dodge
 
Nina wasiwasi na tarifa hii sababu ninavyojua taarifa kuzuiwa mtu kuingia Marekani hazitangazwi bali inakuwa ni kati ya mhusika na serekali ya Marekani, kuna mwaka pale Kenya kuna viongozi walizuiwa kwenda Marekani lakini hawakutangazwa na pale waandishi wa habari walipododosa ubalozi ukasema taarifa ni siri kati ya mhusika na ubalozi,sasa ya kutangaza hadharani inanitia shaka kama hii habari ni ya kweli labda taratibu zibedirika kwenye utawala wa Trump
 
Walitukosa kwenye Tishio la Ugaidi, wakatukosa kwenye Ebola, nikaonya juu ya amani yetu na hasa uhaguzi wa 2020, sasa ndiko wanakoelekea.

Ukiona hatua kama hizo na hasa Marekani wakija na kete ya demokrasia na haki za binadamu, ujue wanelenga kuvuruga Taifa flani, mifano ipo mingi tu.

Tuwe makini mno hasa uhaguzi mwaka huu, tuepuke balaa ambalo hawa watu wanataka kutuletea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…