Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauza madawa ya kulevya na mashoga watakuwa na ubia na Marekani maana ndiyo wanaopata taabu sana kwa Makonda.
Haya tatuliweni marinda salama sasa hapo ufipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kweli boss,na kuna habari nimeiona imepostiwa humu jukwaani sijui kama ni ya kweli au la.Kiukweli hii serikali Kuna uchafu mwingi sana umejificha ni serikali ya kimafia kabisa Ila Sasa naona mwisho wao waja,ukiona mtu mzito Kama Pompeo kamuandika mtu Kama Bashite ujue Kuna kitu kiko nyuma ya pazia kibafuata na soon tutajua.
Nasikia kuna kundi la akina "marehemu maji mafupi" limeambiwa linatakiwa kupewa kazi kesho.Hapo jamaa wa US wanamlia timing babalao.
Leo kutalalika kweli mitaa ya feri?
Hapo ndio umethibitisha ufala wako kabisaaaa!!
Achana na masuala kuwa siandiki kiswahili fasaha au vipi, the issue ni kwamba ulielewe au umelielewa neno, kama unajiona unajua sana lugha kafundishe chekechea,Yani nataka tu uelimike kwa kufahamu who is USA?!
Tafuta materials usome uongeze ufahamu kuhusu USA ndugu na mwisho umejionyesha ulivyoshupaza shingo na kudumaza akili yako eti"ninaamini ninachokiamini"
Vingine havibebeki kutokana na unachoamini ikiwepo ukweli kuhusu USA comparing our poorest country Tanzania.
Unless otherwise unajipotezea muda kuomba Mimi nikueleweshe kuhusu USA
Halafu sio uwezi ni Huwezi jifunze kuandika kiswahili fasaha
Toa Pumba Zako hapa na Ushauri Wako wa Ovyo, Mh rais ana Akili Timamu hawezi kufata ushauri wako wa KipopomaKiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Hahah na hii pia usiisahau.Hapo ndio umethibitisha ufala wako kabisaaaa!!
Vijana wa ccm ni wapumbavu Sana,us atafute Kiki kwa tz?????? Mnashindwa kujibu hoja mmebaki kukatika tu humu...mmepanic?Upuuzi mtupu..Trump kabanwa sasa anatafuta pa kutokea...inaonekana ile movie ya Iran haikuwasaidia kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah mambo ni mazito!!! Ila wacha kidogo watutingishe maana ujue raia wamechoka ,kila mtu ananung'unika ndani kwa ndani hana pa kusemea so tumshukuru Mungu hawa mabeberu wameamua kuingilia Kati maana hali ilikua inazidi kua mbaya.Aisee kweli boss,na kuna habari nimeiona imepostiwa humu jukwaani sijui kama ni ya kweli au la.
Vyombo vya habari nchini Marekani vinaripoti kuwa raia wa Tanzania wamepigwa marufuku kushiriki katika mchezo wa bahati nasibu wa kupata viza ya kuingia Marekani.
Bahati nasibu hiyo hutoa visa kwa watu takribani 50,000 kutoka nchi zenye kasi ndogo ya maendeleo kila mwaka kuingia na kufanya kazi Marekani.
Nchi ya Sudani pia imepigwa marufuku kuingia katika bahati nasibu hiyo.
Kwa upande mwengine, raia wa nchi nne ikiwemo mbili za Afrika Nigeria na Eritrea wamepigwa marufuku kabisa kuomba viza za kuhamia Marekani.
Marufuku hiyo pia itazihusisha nchi za Myanmar na Kyryzstan.
Hata hivyo raia wa nchi hizo ambao watataka kuingia Marekani kwa kutalii ama biashara wataruhusiwa
BBC.
dodge
Kesho itatafutwa bonge ya kiki ili kuipotezea hii inshu ya Konda boy,usishangae hata kusikia ametangaza kuongeza wafanyakazi mishahara wkt anajua mpunga ni kushnehiiiiii hahah.Nasikia kuna kundi la akina "marehemu maji mafupi" limeambiwa linatakiwa kupewa kazi kesho.
Tukae mkao wa "kula" ama "kuliwa" ama kutofanyiwa hayo juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi kukutana nao ICC kwa sababu Amerika sio mwanachama. Wanahofia marais wao kushtakiwa huko. Wanajua Marais wao wanatembea na damu za wanaulimwengu walio waua.Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Mmsamehe Mtoto hana kosaMtoto wake hayupo sawa. Itakuwa walitaka kumpeleka US.Sasa itabidi waende Germany.
Kweli aisee watawala wajitafakari,hopefully mzee baba hata amka huko alipo na kujaribu kuwajibu mbovu mabeberu wasije wakakaza uzi hatari.Daaaah mambo ni mazito!!! Ila wacha kidogo watutingishe maana ujue raia wamechoka ,kila mtu ananung'unika ndani kwa ndani hana pa kusemea so tumshukuru Mungu hawa mabeberu wameamua kuingilia Kati maana hali ilikua inazidi kua mbaya.
Sijamsema mtoto vibaya.Mmsamehe Mtoto hana kosa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti wakuda wawiliSerikali ya magufuri inavuna ilichopanda
Wasukuma wote tunaonekana wakuda kwa ukuda wa wasukuma wawili tu
Sent using Jamii Forums mobile app