Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

06DB0D55-F339-4F48-994A-75803768E777.gif
 
Mabeberu wanatuonea wivu. Pesa za misaada na mikopo ya mabeberu mnaopewa bado wawaonee wivu? Huo mkopo wa beberu, kuna kundi wanatamani wa mchape risasi mtu. Mnawatukana mabeberu halafu mnataka kwenda kwao. Kufanya nini?
Wauza madawa ya kulevya na mashoga watakuwa na ubia na Marekani maana ndiyo wanaopata taabu sana kwa Makonda.

Haya tatuliweni marinda salama sasa hapo ufipa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli hii serikali Kuna uchafu mwingi sana umejificha ni serikali ya kimafia kabisa Ila Sasa naona mwisho wao waja,ukiona mtu mzito Kama Pompeo kamuandika mtu Kama Bashite ujue Kuna kitu kiko nyuma ya pazia kibafuata na soon tutajua.
Aisee kweli boss,na kuna habari nimeiona imepostiwa humu jukwaani sijui kama ni ya kweli au la.

Vyombo vya habari nchini Marekani vinaripoti kuwa raia wa Tanzania wamepigwa marufuku kushiriki katika mchezo wa bahati nasibu wa kupata viza ya kuingia Marekani.

Bahati nasibu hiyo hutoa visa kwa watu takribani 50,000 kutoka nchi zenye kasi ndogo ya maendeleo kila mwaka kuingia na kufanya kazi Marekani.

Nchi ya Sudani pia imepigwa marufuku kuingia katika bahati nasibu hiyo.

Kwa upande mwengine, raia wa nchi nne ikiwemo mbili za Afrika Nigeria na Eritrea wamepigwa marufuku kabisa kuomba viza za kuhamia Marekani.

Marufuku hiyo pia itazihusisha nchi za Myanmar na Kyryzstan.

Hata hivyo raia wa nchi hizo ambao watataka kuingia Marekani kwa kutalii ama biashara wataruhusiwa

BBC.

dodge
 
Watanzania tujirudi, mbona tunazidi kupotea?
Kama wote tutazama kwenye malumbano nchi itajengwa na nani?

Chonde chonde ,tumuepuke huyo pepo mchafu aliyetuvamia, tunapotea, turudi mezani tuijenge nchi yetu pamoja.Tuna katiba moja tu ya JMT, ugomvi wa nini wakati tunajenga nyumba moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nataka tu uelimike kwa kufahamu who is USA?!
Tafuta materials usome uongeze ufahamu kuhusu USA ndugu na mwisho umejionyesha ulivyoshupaza shingo na kudumaza akili yako eti"ninaamini ninachokiamini"

Vingine havibebeki kutokana na unachoamini ikiwepo ukweli kuhusu USA comparing our poorest country Tanzania.

Unless otherwise unajipotezea muda kuomba Mimi nikueleweshe kuhusu USA
Halafu sio uwezi ni Huwezi jifunze kuandika kiswahili fasaha
Achana na masuala kuwa siandiki kiswahili fasaha au vipi, the issue ni kwamba ulielewe au umelielewa neno, kama unajiona unajua sana lugha kafundishe chekechea,
Kuhusu USA ninawaelewa kwa namna niwaelewavyo mimi na wewe unawaelewa hivyo hivyo uwaelewavyo, kuhusu kukwambia unifafanulie who is USA sio kwa kujifunza kutoka kwako bali ni kuona wewe kama wewe unawaelewaje,
Ndio maana nikakwambia ninaamini katika ninacho kiamini na wewe elewa hivyo hivyo unacho kielewa juu ya USA,
Sijahitaji unielimishe USA ni akina nani, nilitaka nikuone wewe kama wewe unawaelewaje,
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Toa Pumba Zako hapa na Ushauri Wako wa Ovyo, Mh rais ana Akili Timamu hawezi kufata ushauri wako wa Kipopoma

Yaani Utunishiane Misuli na USA? hauitakii mema nchi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kweli boss,na kuna habari nimeiona imepostiwa humu jukwaani sijui kama ni ya kweli au la.

Vyombo vya habari nchini Marekani vinaripoti kuwa raia wa Tanzania wamepigwa marufuku kushiriki katika mchezo wa bahati nasibu wa kupata viza ya kuingia Marekani.

Bahati nasibu hiyo hutoa visa kwa watu takribani 50,000 kutoka nchi zenye kasi ndogo ya maendeleo kila mwaka kuingia na kufanya kazi Marekani.

Nchi ya Sudani pia imepigwa marufuku kuingia katika bahati nasibu hiyo.

Kwa upande mwengine, raia wa nchi nne ikiwemo mbili za Afrika Nigeria na Eritrea wamepigwa marufuku kabisa kuomba viza za kuhamia Marekani.

Marufuku hiyo pia itazihusisha nchi za Myanmar na Kyryzstan.

Hata hivyo raia wa nchi hizo ambao watataka kuingia Marekani kwa kutalii ama biashara wataruhusiwa

BBC.

dodge
Daaaah mambo ni mazito!!! Ila wacha kidogo watutingishe maana ujue raia wamechoka ,kila mtu ananung'unika ndani kwa ndani hana pa kusemea so tumshukuru Mungu hawa mabeberu wameamua kuingilia Kati maana hali ilikua inazidi kua mbaya.
 
Nasikia kuna kundi la akina "marehemu maji mafupi" limeambiwa linatakiwa kupewa kazi kesho.
Tukae mkao wa "kula" ama "kuliwa" ama kutofanyiwa hayo juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho itatafutwa bonge ya kiki ili kuipotezea hii inshu ya Konda boy,usishangae hata kusikia ametangaza kuongeza wafanyakazi mishahara wkt anajua mpunga ni kushnehiiiiii hahah.

dodge
 
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Hatuwezi kukutana nao ICC kwa sababu Amerika sio mwanachama. Wanahofia marais wao kushtakiwa huko. Wanajua Marais wao wanatembea na damu za wanaulimwengu walio waua.

Ndiyo wanamtafuta Rais wetu, Rais Magufuli. Viongozi wote wa nchi zote za Maghari zinamwofia Rais Magufuli. TV zote za kimataifa siku hizi hazitaji jinalake wala hawayasemei maendeleo yanayotokea Tanzania. Wako kimyaa! Wana sikilizia.

Maajabu anayo yafanya Magufuli wazungu wanayahofia sana, kwani Tanzania ikifanikiwa tu nchi nyingi za Afrika zitataka kufanya kama Tanzania na hapo ndipo utakuwa mwisho wao.

Rais Magufuli usiende nje mpaka SGR na Nyerere Dam zimemalizika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Nzuri
Reactions: UCD
Daaaah mambo ni mazito!!! Ila wacha kidogo watutingishe maana ujue raia wamechoka ,kila mtu ananung'unika ndani kwa ndani hana pa kusemea so tumshukuru Mungu hawa mabeberu wameamua kuingilia Kati maana hali ilikua inazidi kua mbaya.
Kweli aisee watawala wajitafakari,hopefully mzee baba hata amka huko alipo na kujaribu kuwajibu mbovu mabeberu wasije wakakaza uzi hatari.

dodge
 
Kwa kawaida yao US huanza taratibu kama joke vile, lakini inavyomalizia husikitisha. Wacha tuone baada ya wiki chache hivi nini kitafuata ( hasa baada ya profesa Macho kumjibu Pompeo utumbo) Bila shaka litakuwa zito kuliko hili na mwisho itakuwa kuliko iran.
 
Back
Top Bottom