Toa ujinha wako hapa waliosaini mikataba ya kimyonyaji si watamzania ma waafrika kwa maslahi ya wao binafsi na watu wao wa karibu?? Sio mawaziri na marais wa nchi hizo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu,are you seriousYaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Something is wrong somewhereWalitukosa kwenye Tishio la Ugaidi, wakatukosa kwenye Ebola, nikaonya juu ya amani yetu na hasa uhaguzi wa 2020, sasa ndiko wanakoelekea.
Ukiona hatua kama hizo na hasa Marekani wakija na kete ya demokrasia na haki za binadamu, ujue wanelenga kuvuruga Taifa flani, mifano ipo mingi tu.
Tuwe makini mno hasa uhaguzi mwaka huu, tuepuke balaa ambalo hawa watu wanataka kutuletea.
Msiukimbie ukweli. Semeni ukweli, kuna sehemu tumekosea, hatujachelewa tubadirike na kuanza upyaWalitukosa kwenye Tishio la Ugaidi, wakatukosa kwenye Ebola, nikaonya juu ya amani yetu na hasa uhaguzi wa 2020, sasa ndiko wanakoelekea.
Ukiona hatua kama hizo na hasa Marekani wakija na kete ya demokrasia na haki za binadamu, ujue wanelenga kuvuruga Taifa flani, mifano ipo mingi tu.
Tuwe makini mno hasa uhaguzi mwaka huu, tuepuke balaa ambalo hawa watu wanataka kutuletea.
Achana nae huyo hajui hta Keagan kapatikanajeWewe ndo fala first class, Bashite kabla hajaleta makontena ya magari na fenicha za kifisadi alikwenda wapi mwaka juzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, kweli Viongozi ebu jitafakarini mambo hayako sawa mnatuletea balaaSomething is wrong somewhere
Former director wa The C.I.A huyo mzeee..Duh! Pompeo anamjua hadi standard seven Bashite?
Taifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
Hili litaathili business community hasa wafanyabiashara wakubwa wa Tanzania. Hili litapelekea wafikirie kutomuunga mkono JPM kwenye uchaguzi mkuu.Hivi hiyo inafaida gani kwetu mkuu?
Ni muda wa kabudi kupooza mabeberu hawaHaya Sasa mabeberu wameanza kuonyesha uwezo wao! Ndo mje na ule sisi ni Dona kantri ooh tuna hela sana hatuwategemei mabeberu.