Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Huyo alishajipiga ban mwenyewe longtime wala hana shobo za Uyankee chato inamtosha.Hivi wakimpiga block na mzee wetu maziri mwenye dhamana kutoingia kwenye malango ya Marekani itakuwaje? Si macho yatadondoka
Ndoa ya wanawake watupu!
Yaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Keng* kasoro mkia wewe badala ulaumu vibaraka wa mabeberu unalaumu selikali. Hivi unadhani hao viongozi wataumia au ni walala hoi kama wewe mtaumia
God save us
Magufuli ameshiriki ktk hiyi mikataba akiwa memba wa cabinet zaidi ya miaka 20. Kama ana nia njema mbona mikata yake ya madini yote anaweka siri.Mikataba hiyo ndio Magufuli anarekebisha, mabeberu wanatumia mbinu zote kumkwamisha.
Issue ya Kuzuiwa Makonda inatokana na Tamko lake la kuzuia Mashoga sio blaablaa zisizo na ushahidi
Kwa US tamko lile ni kinyume cha haki za Binadamu sio vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Rasilimali ni akili ya kichwani siyo madini au wanyama tuliowakuta! Japan hawana madini Wala Simba porini ila wana madini ya kichwani ndo huwatoa watu ufukara! Elimu ya kichwani ndo rasilimali.
Kwani ukiambiwa uende mbinguni muda huu utaenda?Alafu itakuwaje sasa? Wanakufa au?
Hivi unafikiri Marekani ni mbinguni kule?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaota wewe, utakuwa uielewi Marekani vizuriWalishawahi kumzuia Kenyatta na serikali yake leo wanamnyenyekea,muda si mrefu wachawi wote watakuwa uchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina wasiwasi na tarifa hii sababu ninavyojua taarifa kuzuiwa mtu kuingia Marekani hazitangazwi bali inakuwa ni kati ya mhusika na serekali ya Marekani, kuna mwaka pale Kenya kuna viongozi walizuiwa kwenda Marekani lakini hawakutangazwa na pale waandishi wa habari walipododosa ubalozi ukasema taarifa ni siri kati ya mhusika na ubalozi,sasa ya kutangaza hadharani inanitia shaka kama hii habari ni ya kweli labda taratibu zibedirika kwenye utawala wa Trump
Na hilo ndilo linalosubiriwayaani mwaka huu akijitangaza ameshinda asilimia 99 marekani wanalala nae mbele.
Wasiojulikana wameiponza awamu ta tano. Hakuja Rogue element yoyote inafanya mauwaji ambayo CIA wakiamua watashindwa kujua aliyeko nyuma yao.Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
View attachment 1342730
View attachment 1342609
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.
Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.
Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.
Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.
View attachment 1342609
Ushamba mzigo kweli kweli...ingia kwenye official page zake uone kama hajapostYaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu zao zipo wazi hayo ya ushoga unayajua waoMashoga ndo sababu kubwa, jamaa kawapiga vita waziwazi, Manji ni Nani kulishawishi taifa kama lile???
Unapewa silaha za kuspy mwenendo wa jeshiUsijali, jana wamelipa jeshi letu msaada wa kijeshi tena wametupatia vifaa vya kisasa