Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
MLETA UZI NENDA UKANYE ULALE. NAONA UMESHIBA MPAKA UNA VIMBIWA. TUTOLEE UMA GUFURI WAKO
 
Lissu ameshakuwa mtu wao, bila shaka atakapokuja kugombea CIA weusi watakuja kumlinda.
Lengo la marekani kumchafua makonda ni kuhakikisha Lissu atakaporudi kugombea hapatakuwa na kikundi cha kutishia uhai wake.
WEWE KWELI NI KILAZA HUYO BASHITE WAKO AMERICA JAS NOTHING TO DO WITH HIM.

NAM KUMBUKA FISADI LOWASA ALIJISEMEA VIPA UMBELE VYAKE NI ELIMU! ELIMU! ELIMU!
 
Lissu ameshakuwa mtu wao, bila shaka atakapokuja kugombea CIA weusi watakuja kumlinda.
Lengo la marekani kumchafua makonda ni kuhakikisha Lissu atakaporudi kugombea hapatakuwa na kikundi cha kutishia uhai wake.
US na EU walishawonya.
 
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
ICC wanaona watapoteza muda. Trump anatuma tu drone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Ma iphone mnayoyatumia yote wanaacces zake.
WhatsApp zote wanazipitia.

Wanajua kila call ya Makonda wanasoma meseji zote za Makonda. Mpaka magu. Wanasoma kila kitu na wanasikiliza call zote za Magu.

Wapumbavu kama kina Mwiguku wanaingia Twitter wanatukana live live wakidhani wanamsaidia Magu kumbe wanamharibia.

Twitter ni platform yao. Ukituma matusi wanasoma wanawakalimani mpak wa lugha za kichaga.

Yani hakuna pa kukimbilia.

Mtu mbabe hapa duniani ni china na russia tu.
Japo hata china kuna yule demu wa Huawei wamarekani walimkaata.

Ila kwa hapa bongo wote ni kuku tu.
Marekani anaweza kufanya analolitaka.
 
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Kwa nn upigie kelele huku waandikie barua waulize maswali yako na kama wao ni vidume. Sijui unataka mbeguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiandae Drone inamkuta mahali popote sijui kama wale washika mitutu kama migobole wataweza kuzima Drone.
Drone ya moshi wa Ruangwa iliwashinda sembuse drone ya nyukilia ingawa sasa Le mutuz kaomba bajeti kwa ajili ya kusafiri kwenda chad Gambia mali na kwingineko Duniani kusaka waganga wa kienyeji kwa ajili ya kuja kumtengenezea Daud Bashite ndumba za kumkinga na Drone, kufa kufaana sasa Le mutuz atapiga pesa zao kama hana Akili nzuri
 
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Ni masuala ya ushoga

Lissu ameshakuwa mtu wao, bila shaka atakapokuja kugombea CIA weusi watakuja kumlinda.
Lengo la marekani kumchafua makonda ni kuhakikisha Lissu atakaporudi kugombea hapatakuwa na kikundi cha kutishia uhai wake.
Daud Bashite na cyprian Musiba walikuwa wamejiandaa kumchakaza Tundu lisu mara tu atakapokuja hapo Dsm lakini mungu kawaona wameumbuka
 
Nimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na kusikitishwa na kitendo cha waTz kushangilia katazo hilo.
Makonda kapigwa hilo zuio kutokana na marufuku aliyoiweka kwa wanaume kuzibuana makalio na mitaro ya maji machafu, and rightfully so! Hivi hawa manguruwe walitegemea sisi tukubali ushoga kabisa, kweli?!!

Pia ifahamike, hayo masuala ya ushoga ni kama sababu tu tunayotafutiwa, ila kuna jambo lingine lipo nyuma ya pazia na hiyo ya ushoga ni gelesha tu. Marekani huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi bila kuwa na agenda za maslahi yake anazokua amezificha, tuwe makini.
Ila kubwa kabisa, nimegundua wanaosapoti ushoga katika nchi hii ni wengi sana, nahisi 70% yaWatz wote ni mashoga, i fear so, ngoja niendelee kufuatilia comments huko mitandaoni.

Back
Top Bottom