Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walisoma whatsapp za Makonda wakatbua kuw yeye ndio alimuua Ben saanane. Aliratibu Lisu kupigwa shaba na ni mwiziNimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na kusikitishwa na kitendo cha waTz kushangilia katazo hilo.
Makonda kapigwa hilo zuio kutokana na marufuku aliyoiweka kwa wanaume kuzibuana makalio na mitaro ya maji machafu, and rightfully so! Hivi hawa manguruwe walitegemea sisi tukubali ushoga kabisa, kweli?!!
Pia ifahamike, hayo masuala ya ushoga ni kama sababu tu tunayotafutiwa, ila kuna jambo lingine lipo nyuma ya pazia na hiyo ya ushoga ni gelesha tu. Marekani huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi bila kuwa na agenda za maslahi yake anazokua amezificha, tuwe makini.
Ila kubwa kabisa, nimegundua wanaosapoti ushoga katika nchi hii ni wengi sana, nahisi 70% yaWatz wote ni mashoga, i fear so, ngoja niendelee kufuatilia comments huko mitandaoni
Le mutuz sasa anakula pesa zao kwa kisingizio kuwa yeye atawaletea ndumba za kuidondosha drone kabla haijafika kwa mhusikaIcc longo longo nyingi Drone moja tu inatosha. Siku hizi wmarekana wakimtaka mtu hawana haja ya kufata fata nyuma kama wale jamaa wa Noah nyeusi. Wanatuma tu uchawi wao wa Drone.

Wapo watanzania ambao ni CIA wamesomeshwa na America kisha wakapenyezwa kwenye system wapo kila idara wanatoa taarifa zoteMa iphone mnayoyatumia yote wanaacces zake.
WhatsApp zote wanazipitia.
Wanajua kila call ya Makonda wanasoma meseji zote za Makonda. Mpaka magu. Wanasoma kila kitu na wanasikiliza call zote za Magu.
Wapumbavu kama kina Mwiguku wanaingia Twitter wanatukana live live wakidhani wanamsaidia Magu kumbe wanamharibia.
Twitter ni platform yao. Ukituma matusi wanasoma wanawakalimani mpak wa lugha za kichaga.
Yani hakuna pa kukimbilia.
Mtu mbabe hapa duniani ni china na russia tu.
Japo hata china kuna yule demu wa Huawei wamarekani walimkaata.
Ila kwa hapa bongo wote ni kuku tu.
Marekani anaweza kufanya analolitaka.
Poor you.. [emoji6]Nimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na kusikitishwa na kitendo cha waTz kushangilia katazo hilo.
Makonda kapigwa hilo zuio kutokana na marufuku aliyoiweka kwa wanaume kuzibuana makalio na mitaro ya maji machafu, and rightfully so! Hivi hawa manguruwe walitegemea sisi tukubali ushoga kabisa, kweli?!!
Pia ifahamike, hayo masuala ya ushoga ni kama sababu tu tunayotafutiwa, ila kuna jambo lingine lipo nyuma ya pazia na hiyo ya ushoga ni gelesha tu. Marekani huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi bila kuwa na agenda za maslahi yake anazokua amezificha, tuwe makini.
Ila kubwa kabisa, nimegundua wanaosapoti ushoga katika nchi hii ni wengi sana, nahisi 70% yaWatz wote ni mashoga, i fear so, ngoja niendelee kufuatilia comments huko mitandaoni
Haki za binadamu ni pamoja na utekaji upotevu upigaji risasi na unyama wote alioshiriki sasa wamemgundua
Secretary Pompeo
✔@SecPompeo
https://twitter.com/SecPompeo/status/1223307597194854400
Today we designated Dar es Salaam Regional Commissioner Paul Christian Makonda as ineligible to enter the U.S. for his involvement in gross violations of #humanrights. We are deeply concerned over deteriorating respect for human rights and rule of law in #Tanzania.
January 31, 2020

America huanza na chokochoko kwanza na ukijichanganya wanakumaliza haraka
Haki za binadamu ni pamoja na utekaji upotevu upigaji risasi na unyama wote alioshiriki sasa wamemgundua
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizimxiewwwwweeeeeeeww hata sikutaka kucomment kwenye huu ushuzi wako imenifanya nikujibu yaaan off all reasons attached hapo umeonaa wamezungumziaa ushogaa yaan watu wengine bwana hivi unamjuaa huyo aliyetoaa report/barua/onyo ni nani?? unajuaa alikuwa nani before hajawa na hiyo nafasi aliyonayo sasa?au unadhan marekani wanaongozwa kwa mihemko kama sisi wabongo?watu wamesha kaa chini na kufuatilia thats why wakaja na sababu zinazoeleweka ila mabonngo zozo kama ww ndo mmenangania ushogaa kwani whts wrong with ushoga kama mtu anakubali kuliwa mwenyewe na anaenjoy??!nani anakupa jeuri ya kuingilia uhuru wa mtu??yaan dudu apigwe mwingine ww uumiee kweli??hebu fanyeni kazi bwnaa na kujifanya unajua kila kitu kama huna kazi natafuta house boy wa kunifuliaa vyupi vyangu ....
😆😆😆😆😆Mungu awabariki wazungu cc Erythrocyte