Wapambe wa Daud Bashite akina Cyprian Musiba na Le mutuz hawana siri wakilewa Bar huanika kila kitu, marekani hata ikiwatuma wapelelezi wanafunzi wa chekechea wawahoji hao watu wawili watapata taarifa muhimu juu ya unyama wote wa Daud Bashite
Ngoja tuangalie kwa undani tafsiri pana, je kulengwa kwa Paul Makonda na vikwazo ikiwemo kutosafiri kwenda USA, mali zake au account benki kuzuiwa pengine akitoka nje ya nchi ya Tanzania kuna uwezekano wa kutiwa mbaroni na kupelekwa kujibu mashtaka ya kuvunja haki za binadamu na k.n .
Ngoja tutumbukie ktk internet tupate maana pana ya vikwazo hivi kwa mkuu wa mkoa.
Maana media za Tanzania zitaishia na ushoga na kusahau utekaji, kuzuia demokrasia, meya wa Dar es Salaam kufanyiwa ndivyo sivyo na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama anaangalia na kubariki uvunjifu wa haki, sheria n.k

Secretary Pompeo
✔@SecPompeo
Today we designated Dar es Salaam Regional Commissioner Paul Christian Makonda as ineligible to enter the U.S. for his involvement in gross violations of #humanrights. We are deeply concerned over deteriorating respect for human rights and rule of law in #Tanzania.
January 31, 2020