Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Nakuuliza hayo yote kayafanya Makonda binafsi Kama mkuu wa mkoa au ni serikali nzima?? Kwamba huu ulikuwa ni mpango binafsi wa Makonda???
Hao CIA kwanini hawakuweka ushahidi wa hata tukio moja alilolifanya Makonda na huo upigaji watu risasi unao usema??
Ndiyo kashazuiwa sasa kama vipi kaandamaneni kwenye ubalozi wao, washamba wakubwa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wapo mbele sana katika kukusanya taarifa, kuzichakata na kupata jibu sahihi / maana halisi na kisha kufanyia maamuzi .

Cocktail parties zinazofanyika Dsm , wanafunzi na maafisa serikali waliopata scholarship / safari za mafunzo Marekani pia ni vyanzo sahihi za kupata habari.

Serikali ya Tanzania iliposisitiza wafanyakazi wa umma waombe kibali na kuelezea sababu za safari nje ya nchi ilikuwa kuwatia hofu wasitoe siri au ukweli wa mambo yanayoendelea Tanzania. Hivi juzi tu Mh. Zitto Kabwe bunge la Ndugai wamemshambulia sana kuwa ni msaliti hii yote kutia watu hofu.

Hivyo mara nyingi Marwkani hawakosei wanapotoa taarifa kama hii kwa umma na ulimwengu maana kuna vyanzo vingi kukusanya taarifa sahihi.
Hivi umeiona sababu zilizotajwa hapo mkuu??
Usiwe mtu wa kukubali tu kila kinachosemwa na marekani jaribu kupeleka mbali kidogo akili yako kaka, kumpiga ban mkuu wa mkoa????

Kwahiyo Kama wao wako mbele katika ukusanyaji wa taarifa ndio Sasa uende unatangaza tu ovyo kwenye nchi za watu bila kushirikisha vyombo vya ndani???
Tukisema walitaka watalii wasije nchini tutakuwa na kosa Kaka??

Walikuwa na maana gani kutangazia dunia kutulazimisha kuwa hapa kwetu kuna EBORA?? Kwahiyo wao kwasababu wako mbele kiuchunguzi ndio kuwe sababu ya kutufanyia haya? au kuna kitu kingine wanacho kitaka??

Huo ndio utawala wa sheria wanao utaka Kaka??
 
Na hapo ndipo utakapoanza kujua kwamba mwanga umeanza kutuangazia waTanzania tutoke kwenye giza hili.

Pompeo alikuwa kwenye kitengo Kikubwa.

Hayo yaliyoelezwa hapo kuhusu Makonda ni sehemu ndogo tu ya waliyotaka kufunua kuhalalisha hatua waliyochukua.

Hawa hawakurupuki na kufanya jambo bila kuwepo ushahidi wa kutosha na kuaminika.

Sasa wameanzia kwenye mizizi ya pembeni, na kama hali ikiendelea, mwishowe watafika tu hadi kwenye shina.

Haya yote, na pengine zaidi tusimlaumu mtu. Ni utashi wetu tu uliotufikisha hapa.

Kama tulitaka kuwa mashuhuri duniani, sasa tunaelekea kwenye huo umashuhuri tuliokuwa tunautafuta.

"Wazalendo (Feki) Hoyeeeee!
 
Mpaka hapo wanajua anahusika ishu ya Lissu na mauchafu mengineyo.
....itakuwa ndio hivyo

huwa nashindwa kuelewa ni kitu gani kilim distinguish Makonda mpaka apewe nguvu za kijeshi namna ile za ku assassinate wapinzani wakubwa, kumpiga Warioba? ... its mind bending
 
Leo nina raha sana. Long live USA. Hata usingizi umegomakuja kwa furaha. Yani hapo marekani atakuwa anamfatilia Bashite na baba ake kwa zero distance. Usicheze na USA wewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda Mwingine Msipate Shida Kuisafisha Kaniki Ilhali Colour Yake Inajulikana Mkuu

90%Yawatanzania Wameunga Mkono U know Why ? It means a lot

Watu Wazima tu ndio Wataelewa Ila Walio Zoea Kwa Kuishi Kwa Mapambio Ya Kumsifu Bwana Huyu Usiku Utakuwa Mbaya sana Kwenu

Don't forget it's a Weekend Stop Drama [emoji119]let's having fun

YAKAISARIII...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu we unafurahisha, huo uchunguzi wa 90% kuwa wameunga mkono umeufaniyia wapi mkuu??

Na wewe umesahau kuwa ni mtu wa kusifu tu huyo marekani bila kufikiri mara mbili anachokifanya kina uhalali gani kwa nchi yako.
Watu wazima wasio jua kujibu hoja ni sawa na hukuna.
 
Yatakuwa maajabu ya 8 ya dunia yaani pompeo atumie muda wake kabisa aandike kuhusu bashite-utakuwa anafanya upumbavu wa karne na kujiaibisha.
Huyo anaweza kutumika tu kama kupitishia habari kwa mhusika mwenyewe, hilo nalo utakuwa unaona kuwa ni "upumbavu wa karne"?
 
Tumeshafika huko tuiombee sana nchi yetu tuvuke salama huu mwaka wa majaribu sana kwetu kama Taifa.

Rais Magufuli na Prof Kabudi wawe makini sana mwaka huu na kauli zao za mdomoni, la sivyo tutaifuta Zimbambwe iliko.

Zile kauli za kujimwambafai ziishe kabisa.
Mkimoa Magufuli miaka mitano mi gine ndiyo mwendo mnaelekea huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mxiewwwwweeeeeeeww hata sikutaka kucomment kwenye huu ushuzi wako imenifanya nikujibu yaaan off all reasons attached hapo umeonaa wamezungumziaa ushogaa yaan watu wengine bwana hivi unamjuaa huyo aliyetoaa report/barua/onyo ni nani?? unajuaa alikuwa nani before hajawa na hiyo nafasi aliyonayo sasa?au unadhan marekani wanaongozwa kwa mihemko kama sisi wabongo?watu wamesha kaa chini na kufuatilia thats why wakaja na sababu zinazoeleweka ila mabonngo zozo kama ww ndo mmenangania ushogaa kwani whts wrong with ushoga kama mtu anakubali kuliwa mwenyewe na anaenjoy??!nani anakupa jeuri ya kuingilia uhuru wa mtu??yaan dudu apigwe mwingine ww uumiee kweli??hebu fanyeni kazi bwnaa na kujifanya unajua kila kitu kama huna kazi natafuta house boy wa kunifuliaa vyupi vyangu ....
Huyu jamaa hajui siri kubwa iliyopo kwenye huu ulimwengu na walimwengu.
Wapenda madaraka na fedha ni mafirauni wakubwa sana.
Ukiona MTU anapenda saana fedha na madaraka ujue huyo mtu ni firauni na msodoma mkubwa sana.

Na hao wameja kila kona ya dunia hii.
Wanawake wengi wapenda madaraka ni wasagaji na wasagwaji hali kadhalika wanaume wapenda madaraja.
Kwa Afarika wanajifanya kuwa wanaupinga ushoga mana wanajua kuwa wajinga ni wengi watawashangilia na kuona kuwa wanayoyakemea midomoni yanatoka Rohoni.
Afrika wateja wa vitendo viovu ndio wanaojinasibu kuwa wanavipinga ili waaminike machoni mwa watu.

Ndio maana Afrika unakuta mla rusha na mbadhirifu wa mali za umma anajinasibu mbele za macho ya watu kuwa anapinga rushwa.
Anayeiba kura anajinasibu kuwa anafanya uchaguzi huru na haki. Mla rushwa za ngono anajifanya mcha Mungu na mpinga udhalilishaji.
Mshirikina anajifanya anapinga mauaji ya alibino.
Mtupa takataka barabarani anazuia watupa taka na kuwatoza faini.
Afrika Mvunja sheria anajifanya anaisimamia . Afrika Hakimu mla rushwa anatoa huku na kufunga watu waliojaa magerezani.

Afrika Msimamiza wa misitu ana mashine ya kukata miti ndani na ndiye mfanya biashara ya mbao pori.
Mzuia ujangili anajua wateja wa pembe.
Afrika Biashara za msimamizi wa kodi zinakwepa kodi .
Afrika nyumba ya afsa wa Kampuni ya kusambaza umeme imechakachuliwa mita.
Afrika nyumba ya afsa wa idara ya maji haina mita ya maji.

Afrika mhamasishaji wa kuepuka ngono zembe ni kinara wa kufanya ngono zembe.
Afrika mzuia magendo ndiye mvusha magendo.
Afrika mshauri wa mambo ya ndoa ,ndoa yake Imevunjika.

Afrika muuza dawa za kuongeza nguvu za kiume hana nguvu za kiume.
Afriaka mtoa Pete ya bahati hana bahati.
Afrika mtoa dawa ya utajiri ni maskini wa kutupwa.

Afarika anayetatua migogoro ana migogoro.
Afrika ,anayepinga mabeberu ni beberu mkubwa. Anayechukia matajiri yeye anaupenda utajiri na ana Mali alizoficha.
Afrika anayepinga ukabila ni mkabila.
Afrika anayepinga udini ni mdini.

Kifupi Afrika mtu akikuambia kuwa anapinga ushoga mwambie aanzishe kampeni huru ya kupima watu huko kunakofanyiwa huo uchafu na yeye awe wa kwanza kupimwa.
Kulitaja taja hilo suala lenye laana kubwa ni mbinu ya Kifreemason ya kulieneza. Wanajifanya kuwa wanalipinga lakini wanalirudia rudia Mara kwa Mara mana wanajua kuwa hawawezi kuliunga mkono kwa wazi kulingana na mila za kiafrika. Wana mbinu nyingi za kulitangaza na kulijaza kwenye vichwa vya vijana na watoto kwa kulitaja Mara kwa Mara kwa kujifanya kuwa wanalipinga.

Mifumo ya kiserikali haikuanzia Afrika Bali ni zao la mabeberu.
Wakoloni ndio waliotuletea mifumo ya kiserikali barani Afrika na Yale yaliyojificha ndani yake.
Kilichotuumiza zaidi waafrika ni kukosa uwazi na ukweli na kuweka unafiki mbele.

Mwenyezi Mungu akomboe Dunia nzima hasa Bara la Afrika lilolojaa watu wenye ndimi mbili.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
Hapo ulipo ujue unatumia teknolojia ya ki Marekani na kama kweli unaona Marekani ni mashetani inabidi utoke kwenye mtandao wa kishetani wa Internet pia.

Sio unaleta habari za "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi nilikuuliza ushawahi kwenda Marekani ?
Akakujibuje!

Soma vizuri alivyoandika hapo; yupo tayari kesho ukimuuliza habari juu ya hili atakwambia yeye aliunga mkono kuzuiwa Makonda kwenda Marekani na huku wakimwacha bila kusema lolote kuhusu mkuu wake anayemtuma hayo wanayolalamikia..
 

Nimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na kusikitishwa na kitendo cha waTz kushangilia katazo hilo.
Makonda kapigwa hilo zuio kutokana na marufuku aliyoiweka kwa wanaume kuzibuana makalio na mitaro ya maji machafu, and rightfully so! Hivi hawa manguruwe walitegemea sisi tukubali ushoga kabisa, kweli?!!

Pia ifahamike, hayo masuala ya ushoga ni kama sababu tu tunayotafutiwa, ila kuna jambo lingine lipo nyuma ya pazia na hiyo ya ushoga ni gelesha tu. Marekani huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi bila kuwa na agenda za maslahi yake anazokua amezificha, tuwe makini.
Ila kubwa kabisa, nimegundua wanaosapoti ushoga katika nchi hii ni wengi sana, nahisi 70% yaWatz wote ni mashoga, i fear so, ngoja niendelee kufuatilia comments huko mitandaoni.

Tangu nianze kusoma pumba duniani wewe ni mjinga nambari moja na naona wazi upumbavu wako ni wakiwango cha lami..yaan zizu zwazwa kubwa jinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....itakuwa ndio hivyo

huwa nashindwa kuelewa ni kitu gani kilim distinguish Makonda mpaka apewe nguvu za kijeshi namna ile za ku assassinate wapinzani wakubwa, kumpiga Warioba? ... its mind bending

Kumbuka drama ile kuhusu kupambana na mihadarati Dar es Salaam hadi misokoto ya bange ya kina nani hii. Ati harakati zillihitaji ulinzi uliobobea. Kama ilivyo hadithi ya ngamia kuomba aingize kichwa tu ndani ya hema.
 
Back
Top Bottom