FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
MLETA UZI NENDA UKANYE ULALE. NAONA UMESHIBA MPAKA UNA VIMBIWA. TUTOLEE UMA GUFURI WAKONimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
WEWE KWELI NI KILAZA HUYO BASHITE WAKO AMERICA JAS NOTHING TO DO WITH HIM.Lissu ameshakuwa mtu wao, bila shaka atakapokuja kugombea CIA weusi watakuja kumlinda.
Lengo la marekani kumchafua makonda ni kuhakikisha Lissu atakaporudi kugombea hapatakuwa na kikundi cha kutishia uhai wake.
Mambo yote wanayomtuhumu wameyaandika. Usitengeneze ya kwako.Issue ya Kuzuiwa Makonda inatokana na Tamko lake la kuzuia Mashoga sio blaablaa zisizo na ushahidi
Kwa US tamko lile ni kinyume cha haki za Binadamu sio vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
US na EU walishawonya.Lissu ameshakuwa mtu wao, bila shaka atakapokuja kugombea CIA weusi watakuja kumlinda.
Lengo la marekani kumchafua makonda ni kuhakikisha Lissu atakaporudi kugombea hapatakuwa na kikundi cha kutishia uhai wake.
ICC wanaona watapoteza muda. Trump anatuma tu droneNimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Ma iphone mnayoyatumia yote wanaacces zake.Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Kwa nn upigie kelele huku waandikie barua waulize maswali yako na kama wao ni vidume. Sijui unataka mbeguuNimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Drone ya moshi wa Ruangwa iliwashinda sembuse drone ya nyukilia ingawa sasa Le mutuz kaomba bajeti kwa ajili ya kusafiri kwenda chad Gambia mali na kwingineko Duniani kusaka waganga wa kienyeji kwa ajili ya kuja kumtengenezea Daud Bashite ndumba za kumkinga na Drone, kufa kufaana sasa Le mutuz atapiga pesa zao kama hana Akili nzuriJiandae Drone inamkuta mahali popote sijui kama wale washika mitutu kama migobole wataweza kuzima Drone.
Weeeee na lile unoo unafikiri itakuwa large au extra extra au extra ×3 large ?Wale Jamaa hatari wanajua mpaka rangi za vyupi vya bashite,mpaka size za hivyo vyupi
Obviously rangi ni za chamaWale Jamaa hatari wanajua mpaka rangi za vyupi vya bashite,mpaka size za hivyo vyupi
Ni masuala ya ushogaNimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Ile ilibuma kama dili la usaliti la kamanda msaliti. Haikumboost kisiasa kama alivyotarajia .Upuuzi mtupu..Trump kabanwa sasa anatafuta pa kutokea...inaonekana ile movie ya Iran haikuwasaidia kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daud Bashite na cyprian Musiba walikuwa wamejiandaa kumchakaza Tundu lisu mara tu atakapokuja hapo Dsm lakini mungu kawaona wameumbukaLissu ameshakuwa mtu wao, bila shaka atakapokuja kugombea CIA weusi watakuja kumlinda.
Lengo la marekani kumchafua makonda ni kuhakikisha Lissu atakaporudi kugombea hapatakuwa na kikundi cha kutishia uhai wake.
Hakuna cha ushoga wala nini, wamarekani wamechoka kusikia unyanyasaji udikiteta uminyaji demokrasia kuwabambikia wapinzani kesi, kuwapiga risasi na uonevu mwingineo mwingi
Icc longo longo nyingi Drone moja tu inatosha. Siku hizi wmarekana wakimtaka mtu hawana haja ya kufata fata nyuma kama wale jamaa wa Noah nyeusi. Wanatuma tu uchawi wao wa Drone.
Kama upo huko Tanzania mtafute Le mutuz mpagawishe na Demu mkali huwa ni mdhaifu sana mbele ya mrembo atakupa siri zote za Daud Bashite kwani ni mmoja wa wasiri wake