Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

US wana maana yao

Ila kubwa sana ,Makonda wamemfuatilia na yuko under surveillance so awe muangalifu kushinda muda wote hawa jamaa ni wabobezi inaonyesha wana C.D yake

Americans wako so coordinated

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna lolote watz wameshawachoka wapinzani. Tunajua tatizo ni mashoga tu. Makonda alivyopambana na mashoga ndiyo imekuwa nongwa!
una maoni yakichovu sana, hujiulizi kwanini wale mbuzi wenzio wa kijani wamepotea hawaonekani, kwasababu wanaona aibu wameficha sura zao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani jamaa linatesa na kuua watu bila aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman mlioko Twitter mkumbushen Pompeo kwenye mabano aweke jina la Bashite maana anaweza akaenda tena huko kwa mabeberu kupitia hilo jina lingine akalikataa la Makonda

Weeee hawezi labda akate vidole Vyote au Mikono ili akienda kuomba viza hasiweke finger print🤣🤣🤣🤣
 
Hii imekua aibu sana kwa Tanzania ! Mtu ambaye anakumbatiwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kama mchapakazi lakini Marekani wanazo taarifa za intelijensia kuwa ni MUOVU ambaye hatakiwi hata kuingia Nchini mwao!
Kama si kweli basi vyombo vyetu vya usalama vijitokeze vimsafishe na waikemee Marekani !
 
Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..

USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
Ohooo! Sizitaki mbichi hizi!
 
Hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea huko ICC
Jr[emoji769]
 
Kwanza kabisa, haki za binadamu unazijua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
January 31, 2020

Washington D.C

Public Designation, Due to Gross Violations of Human Rights, of Paul Christian Makonda of Tanzania
JANUARY 31, 2020
The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam. In that role, he has also been implicated in oppression of the political opposition, crackdowns on freedom of expression and association, and the targeting of marginalized individuals.

The United States remains deeply concerned over deteriorating respect for human rights and rule of law in Tanzania. This includes actions taken by the government that curtail freedom of expression, freedom of association, and right of peaceful assembly; target marginalized people and the political opposition; and jeopardize life.
Section 7031(c) provides that, in cases where the Secretary of State has credible information that foreign officials have been involved in significant corruption or a gross violation of human rights, those individuals and their immediate family members are ineligible for entry into the United States. The law also requires the Secretary of State to publicly or privately designate such officials and their immediate family members. In addition to the public designation of Paul Christian Makonda, the Department is also publicly designating his spouse, Mary Felix Massenge.

These actions against Paul Christian Makonda underscore our concern with human rights violations and abuses in Tanzania, as well as our support for accountability for those who engage in such violations and abuses. We call on the Tanzanian government to respect human rights and fundamental freedoms, including the freedom of expression, association, and the right of peaceful assembly.
 
Hapo walipogusia haki ya kuishi.
Nimejikuta damu ikinisisimka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ameua watu wengi sana sana , viroba vyenye Miili ya binaamu vilivyokua vinaokotwa pembeni mwa fukwe ni yeye ameusika

achilia mbali kupokonya hela kwa wafanyabiashara matajiri
 
Mtu mwingine anayefuata kupigwa ban ni Rais John Pombe Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…