valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Na sisi tunampiga marufuku Gov Jay Inslee wa Washington State asiingie TZ in retaliation. Kudadeki ngoma drooo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Sent using Jamii Forums mobile app