Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Wewe hata unachokisoma hukielewi. Ni mtihani tu kuanza kukusomesha.

Na Trump siyo muuaji kwa muono wako?
Could the comparison you are drawing intended to divert attention from the mischievous actions that DAB is known to be associated with?????
 
Huyu jamaa hajui siri kubwa iliyopo kwenye huu ulimwengu na walimwengu.
Wapenda madaraka na fedha ni mafirauni wakubwa sana.
Ukiona MTU anapenda saana fedha na madaraka ujue huyo mtu ni firauni na msodoma mkubwa sana.

Na hao wameja kila kona ya dunia hii.
Wanawake wengi wapenda madaraka ni wasagaji na wasagwaji hali kadhalika wanaume wapenda madaraja.
Kwa Afarika wanajifanya kuwa wanaupinga ushoga mana wanajua kuwa wajinga ni wengi watawashangilia na kuona kuwa wanayoyakemea midomoni yanatoka Rohoni.
Afrika wateja wa vitendo viovu ndio wanaojinasibu kuwa wanavipinga ili waaminike machoni mwa watu.

Ndio maana Afrika unakuta mla rusha na mbadhirifu wa mali za umma anajinasibu mbele za macho ya watu kuwa anapinga rushwa.
Anayeiba kura anajinasibu kuwa anafanya uchaguzi huru na haki. Mla rushwa za ngono anajifanya mcha Mungu na mpinga udhalilishaji.
Mshirikina anajifanya anapinga mauaji ya alibino.
Mtupa takataka barabarani anazuia watupa taka na kuwatoza faini.
Afrika Mvunja sheria anajifanya anaisimamia . Afrika Hakimu mla rushwa anatoa huku na kufunga watu waliojaa magerezani.

Afrika Msimamiza wa misitu ana mashine ya kukata miti ndani na ndiye mfanya biashara ya mbao pori.
Mzuia ujangili anajua wateja wa pembe.
Afrika Biashara za msimamizi wa kodi zinakwepa kodi .
Afrika nyumba ya afsa wa Kampuni ya kusambaza umeme imechakachuliwa mita.
Afrika nyumba ya afsa wa idara ya maji haina mita ya maji.

Afrika mhamasishaji wa kuepuka ngono zembe ni kinara wa kufanya ngono zembe.
Afrika mzuia magendo ndiye mvusha magendo.
Afrika mshauri wa mambo ya ndoa ,ndoa yake Imevunjika.

Afrika muuza dawa za kuongeza nguvu za kiume hana nguvu za kiume.
Afriaka mtoa Pete ya bahati hana bahati.
Afrika mtoa dawa ya utajiri ni maskini wa kutupwa.

Afarika anayetatua migogoro ana migogoro.
Afrika ,anayepinga mabeberu ni beberu mkubwa. Anayechukia matajiri yeye anaupenda utajiri na ana Mali alizoficha.
Afrika anayepinga ukabila ni mkabila.
Afrika anayepinga udini ni mdini.

Kifupi Afrika mtu akikuambia kuwa anapinga ushoga mwambie aanzishe kampeni huru ya kupima watu huko kunakofanyiwa huo uchafu na yeye awe wa kwanza kupimwa.
Kulitaja taja hilo suala lenye laana kubwa ni mbinu ya Kifreemason ya kulieneza. Wanajifanya kuwa wanalipinga lakini wanalirudia rudia Mara kwa Mara mana wanajua kuwa hawawezi kuliunga mkono kwa wazi kulingana na mila za kiafrika. Wana mbinu nyingi za kulitangaza na kulijaza kwenye vichwa vya vijana na watoto kwa kulitaja Mara kwa Mara kwa kujifanya kuwa wanalipinga.

Mifumo ya kiserikali haikuanzia Afrika Bali ni zao la mabeberu.
Wakoloni ndio waliotuletea mifumo ya kiserikali barani Afrika na Yale yaliyojificha ndani yake.
Kilichotuumiza zaidi waafrika ni kukosa uwazi na ukweli na kuweka unafiki mbele.

Mwenyezi Mungu akomboe Dunia nzima hasa Bara la Afrika lilolojaa watu wenye ndimi mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana nanhili kwanza; Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
Bora tupigwe tu kama LIBYA ili akili zikae sawa maana GENGE la BASHITE na BABA YAKE ndio wanavyotaka.
 
Baada ya hii basi hata zile kesi kama tamthlia ya Isidingo soon zitaisha mambo ni mengi...
 
Tangu nianze kusoma pumba duniani wewe ni mjinga nambari moja na naona wazi upumbavu wako ni wakiwango cha lami..yaan zizu zwazwa kubwa jinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana na hili kwanza; Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
SAFI SANA HIZI NI GREAT NEWS. WAWEKE NA VIKWAZO VYA UCHUMI ILI TUHE SHIMIANE. WATU WAACHE KUGAWA PESA ZA KODI TENA CASH MONEY KAMA NJUGU.

"GOD BLESS AMERICA "
Sasa utaheshimiana na nani? Waliokaribu na hazina wataendelea kuishi kama walivyo na mmarekani hana shida yeye kazi yake kutamka tu.

Atakayekufa sisi wananchi...
 
HaHah huyo kashalaaniwa tayari, kajificha kwenye kichaka cha ushoga wakati sababu zipo obvious kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hangaika na hili kwanza, Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
We bwe ge ,sis
Four senior Kenyan government officials and a businessman have been permanently banned from travelling to the United States over allegations of trafficking narcotics, the U.S. ambassador to Kenya said on Tuesday.
We kiazi!sisi tunaongelea ya Tanzania wewe unatupeleka Kenya!ko kwasababu mkenya huwa anajinyea basi hata mtanzania akijinyea inakuwa halali?!!
Hivi mitanzania mingine ipoje???!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kinyaa kikubwa maneno yako nisawa na MTU kula mavi fresh yenye kipindupindu!! Huwezi kusema 70% niwahivyo, babako ni mtz? Nimakonda tuu anayepinga huo upuuzi tz nzima au Afrika? Sijui kwanini na argue anyways.
Pambana na hili kwanza, Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Hakuna sababu ya ushoga iliyowekwa kwenye tangazo la katazo. Hizo ni imagination zako ili Ku justify ujinga unaofikiria.
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Huyo tu Bashite amepigwa ban je angepigwa Meko mbona ungevua nguo...aliyekwambia mtu binafs apigwi ban n nani ?
Ukiuza dawa za kulevya utapigwa ban...ukila misaada ya watu wa marekani utapigwa ban...ukiminya demokrasia na kufanya ukandamizaji utapigwa ban...unavyomtetea Makonda kwamba anaenda marekani km safr binafs anaendaga kufanya nini kwani n kwao?.
Akae aende China apate Corona.
 
Endelea tu ku Copy na ku paste. Hizi ni rasharasha tu mvua yenyewe Uchaguzi mkuu.

Tumewaambia sana humu ila mnaziba masikio
Endelea kupambana na hili kwanza, kaa humo.., Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
H
Ohooo,Mara hii kushakucha....
Tubaki na Tz ye2 hakuna namna, Magu kaweza iweje BST ashindwe???
Hili si katazo lenye madhara kwa MAKONDA maana sidhani kwa Mkuu wa Mkoa ni lazima aende Marekani, anawezakukaa muda wote wa uteuzi wake bila kufika huko Marekani. Ila tunampa pole maana inawezakubadiika hata ikagusa watoto wake baadaye
 
Sababu
1.Kuuwawa kwa Ben SAA nane
2.kuratibu mauaji ya Lisu
3. Kumteka MO, Roma mkatoliki
4. Kuvamia Clouds
5.......
Pambana nanhili kwanza, ishi nayo hiyo..,
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Habari great thinker!

Naomba moderator msichanganye uzii huu!
Hoja ya uzii huu siyo ile ya makonda kuzuiwa kuingia marekani HAPANA!

Naomba tujadili tuhuma zilizomo ndani ya barua hiyo

Katika kipande cha barua ya wamerekani kumzuia makonda na familia yake kukanyaga marekani kimesema kuwa; MAKONDA ANATUHUMIWA KUDHULUMU UHAI WA WENGINGINE KUISHI
"The flagrant denial of the right to life"

Hiyo ni tuhuma nzito sana kupewa na taifa kubwa kama marekani ambalo lina vyombo vikubwa vya kiinterijensia!

Mbaya zaidi wanasema kwamba wametoa kauli hiyo baada ya kukusanya ushahidi wa kina.

Ifahamike kwamba aliyetoa kauli hiyo MR. POMPEO amewahi kuwa mkurugenzi wa CIA!

Wajuvi naombeni ufafanuzi Hapa ;
Kudhulumu uhai wa watu wengine ina maana Ipi? Je ni kuchinja watu , kuzuia ushoga au ni kubana demokrasia?
IMG_20200201_070025.jpg
 
Could the comparison you are drawing intended to divert attention from the mischievous actions that DAB is known to be associated with?????
What and which comparison I made?

I wrote about Regional commissioners and their actions costing them long before this ban. I knew it will cost them somehow but I didn't know where the bullet will come from. We have recently found out the bullets are pouring from everywhere. Read...

H

Hili si katazo lenye madhara kwa MAKONDA maana sidhani kwa Mkuu wa Mkoa ni lazima aende Marekani, anawezakukaa muda wote wa uteuzi wake bila kufika huko Marekani. Ila tunampa pole maana inawezakubadiika hata ikagusa watoto wake baadaye
Kamsome nyani ngabu kaanzishia uzi suala. Hili acha ubashite
 
Back
Top Bottom