valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Sifa ya mjinga ni kuishi leo kama vile kesho haitakujaInauma wewe acheni tu unaenda na vitoto ubalozini kuomba Visa sijui na kina Harmo au Kitenge halafu wewe mwenye mkoa unapigwa chini vitoto vinatoka na furaha. inauma sana....
Yeah, nikama walivyosema Saddam ana silaha za maangamizi na kisha kuvamia mafuta yake. Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hiziHawa jamaa wapo mbele sana katika kukusanya taarifa, kuzichakata na kupata jibu sahihi / maana halisi na kisha kufanyia maamuzi .
Cocktail parties zinazofanyika Dsm , wanafunzi na maafisa serikali waliopata scholarship / safari za mafunzo Marekani pia ni vyanzo sahihi za kupata habari.
Serikali ya Tanzania iliposisitiza wafanyakazi wa umma waombe kibali na kuelezea sababu za safari nje ya nchi ilikuwa kuwatia hofu wasitoe siri au ukweli wa mambo yanayoendelea Tanzania. Hivi juzi tu Mh. Zitto Kabwe bunge la Ndugai wamemshambulia sana kuwa ni msaliti hii yote kutia watu hofu.
Hivyo mara nyingi Marwkani hawakosei wanapotoa taarifa kama hii kwa umma na ulimwengu maana kuna vyanzo vingi kukusanya taarifa sahihi.
Makonda ni muuaji kama issue ya ushoga kwa taarifa yako hata Trump anaupinga tafuteni MBELEKO nyengine ya kuwabebea WAUWAJI WENU
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hoja, Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hiziUsituchoshe Na Kurudia Rudia Comments Nakujiona Una Point Mkuu
Kama Ushoga Umekuuma Kampimeni Na Huyu Ndugu Yenu Kama Mzima Huko Ndichi
Mmezuia Hadi Wa Tz Wasio Na Hatia Kuto Enda Find Ridhiki huko Mambele Kwaajili Ya Ukabaila Wenu
Mnaleta Oja Dhaifu Zisizo na Mantic
Naona Unausingizi Nakushauri Kunywa Maji Mengi kisha Lala Relax Mchezo Hautaji Pupaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea tu ku Copy na ku paste. Hizi ni rasharasha tu mvua yenyewe Uchaguzi mkuu.Yeah, nikama walivyosema Saddam ana silaha za maangamizi na kisha kuvamia mafuta yake. Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
Hongereni Marekani kwa kupaisha jina LA kijana wa KOLOMIJE mmemupandisha chati saana lakn pia mmemsaidia Rais maana hata yy alishawakataza kutosafiri mmemusaidia
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hiziMarekani hatuwawezi kabisaa cha msingi nikumtimua tu huyo Bashite as a scapegoat
Safari binafsi. Bora sisi tunaoendesha IST lakini tuna uwezo wa kuwatia mimba wake zetu.Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hiziMuda Mwingine Msipate Shida Kuisafisha Kaniki Ilhali Colour Yake Inajulikana Mkuu
90%Yawatanzania Wameunga Mkono U know Why ? It means a lot
Watu Wazima tu ndio Wataelewa Ila Walio Zoea Kwa Kuishi Kwa Mapambio Ya Kumsifu Bwana Huyu Usiku Utakuwa Mbaya sana Kwenu
Don't forget it's a Weekend Stop Drama [emoji119]let's having fun
YAKAISARIII...
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hiziNdiyo kashazuiwa sasa kama vipi kaandamaneni kwenye ubalozi wao, washamba wakubwa nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru adui ujinga ammendelea kuondoshwa miongoni mwa wananchi wengi nchini. Amebaki kwa baadhi ya viongozi na wanaojinasibu kuwaelewa na kuwatetea wakidhani inawafaidishaHatimaye tunakwenda kuwa Taifa linaloruhusu Ushoga na kuibiwa rasilimali zetu kama kawaida.
Wapinzani wakiongozwa na ZitoKabwe, Maria Sarungi na Fatma Karume ndio waasisi wa Taifa jipya lenye kuruhusu ushoga na utumwa wa kuibiwa Rasilimali na mabeberu.
SababuDemokrasia barani Afrika ni ya kuogopa kama ukoma, mwenye hoja ya kupinga aje ulingoni
Demokrasia ndani ya Afrika ni nyenzo ya ukoloni mamboleo. Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini mabepari/ mabeberu hupenda sana kuona nchi za Afrika zikizingatia demokrasia na haki za binadamu? Na hawakupi msaada kama huzingatii demokrasia na haki za binadamu (wapinzani). Jibu ni rahisi sana...www.jamiiforums.com
Nimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na kusikitishwa na kitendo cha waTz kushangilia katazo hilo.
Makonda kapigwa hilo zuio kutokana na marufuku aliyoiweka kwa wanaume kuzibuana makalio na mitaro ya maji machafu, and rightfully so! Hivi hawa manguruwe walitegemea sisi tukubali ushoga kabisa, kweli?!!
Pia ifahamike, hayo masuala ya ushoga ni kama sababu tu tunayotafutiwa, ila kuna jambo lingine lipo nyuma ya pazia na hiyo ya ushoga ni gelesha tu. Marekani huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi bila kuwa na agenda za maslahi yake anazokua amezificha, tuwe makini.
Ila kubwa kabisa, nimegundua wanaosapoti ushoga katika nchi hii ni wengi sana, nahisi 70% yaWatz wote ni mashoga, i fear so, ngoja niendelee kufuatilia comments huko mitandaoni.
Demokrasia barani Afrika ni ya kuogopa kama ukoma, mwenye hoja ya kupinga aje ulingoni
Demokrasia ndani ya Afrika ni nyenzo ya ukoloni mamboleo. Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini mabepari/ mabeberu hupenda sana kuona nchi za Afrika zikizingatia demokrasia na haki za binadamu? Na hawakupi msaada kama huzingatii demokrasia na haki za binadamu (wapinzani). Jibu ni rahisi sana...www.jamiiforums.com
Unapiga kelele tu Dogo. huu ndo mwisho wa serikali yenu ya kigaidiMarekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
100% Makonda ndio aliratibu GENGE la waliomuua Ben Saanane nashangaa wazazi wa Ben wapo kimya tu!! Huyo mtu sio wa kuendelea kuwepo kwa kitendo cha kumuua ben,wazazi wa Ben awatafute wapemba ili kuwatengeneza waliomuua BEN kama wao wana AK47 watu wanatumia nguvu za GIZA.Walisoma whatsapp za Makonda wakatbua kuw yeye ndio alimuua Ben saanane. Aliratibu Lisu kupigwa shaba na ni mwizi